Chasing Monsters
Member
- Jul 4, 2022
- 29
- 29
Habari za asubuhi great thinkers!
Jana usiku nimeingia mkoa wa Kagera kwa mara ya kwanza kabisa na kufikia Wilaya ya Muleba. Huku mimi sina mwenyeji ila natarajia ninyi great thinkers wa JF kuwa wenyeji wangu.
Nimeamua kuja huku baada ya kupitia msoto mkali sana wa maisha kipindi cha corona kuanzia 2020. Umri wangu miaka 30 na ujuzi nilionao ni kuongoza watalii (tour guiding).
Kiuchumi kwakweli siko vizuri, hivyo basi naweza kusema kuwa nahitaji connection ya kazi yoyote itakayoniwezesha either kutumia ujuzi nilionao au kutumia nguvu angalau niweze kupata chochote kitu.
Kwa wanaJF mlioko huku Kagera naombeni mnipe support katika jambo hili. Ikiwa mapema zaidi itafaa zaidi this is urgent.