Nimefanyiwa vitendo vya uonevu na askari wa osterbay,naomba msaada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimefanyiwa vitendo vya uonevu na askari wa osterbay,naomba msaada

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Mopalmo, Apr 27, 2012.

 1. M

  Mopalmo JF-Expert Member

  #1
  Apr 27, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wadau wa jf,nilikamatwa na askari wa kituo cha osterbay nikiwa coco beach jumatatu ya tar 23 nikiwa na mpenzi wangu,wakatupeleka kituo cha oysterbay nakatubambika kesi ya kufanya mapenz ufukweni,kitu ambacho si cha kweli na kutulazimisha tutoe elfu 50,mpenz wangu kwa kuogopa alitoa kiasi hicho ambacho hakikua chake na tukaachiwa,nilifanikiwa kuchukua namba zao na ninataka niwaanike hadharani nitatumia njia gani angalau niweke hadharani ili askari wengine wenye tabia kama hiyo waache na mimi niridhike
   
 2. s

  sawabho JF-Expert Member

  #2
  Apr 27, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,502
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Ulitakiwa kuwasiliana na mtu wapige picha wakati wanapokea hiyo pesa. Ulichukua namba zipi ? Za kwenye sare au silaha. Hata hivyo, kuchukua namba tu haina maana hao jamaa wanaweza kukana kuwa hawakuchukua huo mlungula. Lakini kama una uhakika kuwa hukuwa na kosa kwa nini ukakubali wapewe hiyo 50,0000/= ?
   
 3. M

  Mopalmo JF-Expert Member

  #3
  Apr 27, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mpenz wangu alizitoa kwa uoga,si unajua tungewekwa ndani ingekuaje nyumbani kwao kama asingetoa
   
 4. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #4
  Apr 27, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Mkuu, jeshi la plisi ni kijiwe siku hizi.
  That is what they do.

  pole sana bana, next time hakikisha una-record mazungumzo yenu........hizi simu tunazitumia za nini kama haziwezi kutusaidia??
  ukipata hata audio tu inayothibitisha sauti ikidai buku fifty, hiyo ni bingo.
   
 5. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #5
  Apr 27, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  elfu hamsini ndogo sana..jamaangu walimtoa 300,000 alikuwa ana**mbania kwenye gari!
  NB:hapo kwenye star weka "to"
   
 6. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #6
  Apr 27, 2012
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,950
  Trophy Points: 280
  Nyie ni uoga wenu tuu..ungekomaa wawapeleke ndani kisha wangeandika maelezo ya kosa lenu na nyie mgetoa statement yenu ..ijue sheria na haki yako pia....hapo sahivi unakosa la kutoa rushwa na askari ulemnakili namba anakosa la kupokea rushwa..nyote mnatakiwa kufungwa kwa mujibu wa sheria za takukuru
   
 7. dazenp

  dazenp Senior Member

  #7
  Apr 27, 2012
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 101
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Man hukugangamala aisee mie nilikuwa nimepakai gari yangu nakula mihogo niko mie na mpenzi wangu na mshikaji wangu sasa tukawa tumekaa tunapiga story....mara mshikaji akatoka akaenda kuchukua mihogo mingine mie nimebaki front seat na wangu yuko back seat...tumekaa tunakula story gari zilizokuwa pembeni zilikuwa zimeondoka tumebaki sie tuu sasa wakati tunaongea nikashangaa tochi kwenye kioo cha mbele nikamind nikafungua mlango askari akaninyooshea mtutu nikamwambia unataka kuniua au...akamind eti mnafanya nini hapa peke yenu nyie ndio wahalifu, akaniomba kitambulisho nikamwambia na yeye anipe...akawa mkali nikasimama kidete kuwa asinifanye mie mwendawazimu sheria ipi niliyovunja anipe kifungu basi akawa anajifanya subiri subiri...likaja lile cruiser lao na kwa bahati mbaya na mshikaji kafika basi wakawa wanasema wanataka kusachi nikawaambia on their face ili mnibambikee sifungui milango mpaka wanipe kidhibiti cha kunisachi basi wangu akawa anasema niachane nao niwape wanachokitaka nikampotezea huku nikiwa mkalii kwa maafande huwezi amini afande mmoja nikamsikia akisema huyo sio mwaacheni twendeni mbeleeee nikawa nawaangalia wanatakaje mmoja akanifuata akiniambia tusikukute maeneo haya nikamwambia mie Mtanzania kama hapa nilipopaki ni kenya hutanikuta lakini kama ni Tanzania napaki wakaondoka nikapaki nikala nikaridhika ndio nikaondoka....Lingine la muhimu huo mchezo wa askari kuja kwenye baadhi ya magari unafanywa na baadhi ya wale vijana wa pale ukiona kuna kijana anakuwa hana shughuli maalum jua kuwa anacheki kama mmekaa kimtindo halafu anawapigia majamaa,ili waje kuweni makini ila jamani msikubali kunyanyaswa na hawa wapuuuziii hii ni nchi yetuuu komaaa huvunji sheria kukaa na mpenzi wako kwenye gari sehemu ya public....
   
 8. M

  Mopalmo JF-Expert Member

  #8
  Apr 27, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Sisi hatukua tunafanya hivyo,ndio maana najiskia vibaya sana kwa uonevu ule,ni kama uporaji wala si rushwa natamani nipate njia ya kuwatangaza kwa wanajamii,namba za kwenye jezi zao ninazo ila picha sina na walikua watatu na sura zao nazikumbuka na kituo ni oysterbay,kama kuna mwandishi aliye tayari kuwaripoti ani pm
   
 9. M

  Mopalmo JF-Expert Member

  #9
  Apr 27, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mi nimekuomba ushauri ndugu,hayo uliyoongea hayasaidii zaidi zaidi unanilaumu tu,kitu ambacho hakinisaidii
   
 10. n

  nyantella JF-Expert Member

  #10
  Apr 27, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 890
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  nendeni tena mkafanye mapenzi palepale wakukamateni uwaanike vizuri!
   
 11. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #11
  Apr 27, 2012
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  Mo Palmo!
  Pole sana kwa huo mkasa
  siku ingine usiwe laini ivo...
   
Loading...