Nimefanya yote ila nimegundua Mwanamke anachohitaji ni kitu kimoja tu

Mkuu mimi bado nitakukatalia.
Nitakukatalia kwa sababu ingekuwa kweli hao watu wababe na makauzu ndio wanatakiwa na wanawake basi kule tarime kwa wakurya ndoa zao zisingeharibika maana kule ndio kuna asili ya wababe na makauzu.
Aisee huku Tarime ndoa zinadumu sana mura.....!!
 
mkuu huwezi jua na kuelewa hivi viumbe vinataka nini haswa!!..tuishi navyo tu hivo hivo.. unaambiwa ili umuelewe mwanamke anataka nini ukiwa unaishi naee ukifikisha miaka 60+ ndo utaanza kumuelewa kwa mbaaali...sasa
 
Back
Top Bottom