Nimefanya Utafiti wangu huu Binafsi Je, nipo sahihi nao au niendelee Kuufanya zaidi?

Huyu mtoto walahi anakuelewa mno sema hujui mkuu she is a teacher you know how they are capable of expressing.๐ŸคŸ๐ŸคŸ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Ukitia neno naye yupo nyuma daaah ubini huu jombaa
Ticha kama ticha
 
Ngoja nami nitie neno hapa madani kuhusu watu wa 1990 na 80's hawa viumbe walijionaga sana yaaani walipanda jeuri sasa hivi wanavuna, nyie wa 2000's ni hivi hivi tu sasa ni swala la muda.

Yaani wakaka tutafute pesa tu ukisha kuwa self made wataelewa siku hazifanani, leo pesa huna kesho unazo nimejifunza kitu kwenye maisha.

Pesa ni swala la muda. Kaka kama pesa huna oa mwanamke wa chini yaani level yako hata awe mbaya ukiwa nazo sasa watamumezea mate.
 
Back
Top Bottom