Nimefanya mazoezi leo uwanjani misuli imekaza naomba mwenye kujua dawa ya misuri . | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimefanya mazoezi leo uwanjani misuli imekaza naomba mwenye kujua dawa ya misuri .

Discussion in 'JF Doctor' started by mashambani kwao, Apr 18, 2012.

 1. m

  mashambani kwao JF-Expert Member

  #1
  Apr 18, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naomba kuwasilisha.
   
 2. paty

  paty JF-Expert Member

  #2
  Apr 18, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,256
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  nenda phamarcy yoyote waeleze matatizo yako utasaidiwa, kwani hapa utapewa dawa?? hata ukiambiwa, si utaenda huko huko kununua , sijaona sababu ya kuanika habari ambazo hazijengi hapa
   
 3. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #3
  Apr 18, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  tumia salimia
   
 4. JS

  JS JF-Expert Member

  #4
  Apr 18, 2012
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Nunua Deep Heat na upate mtu wa kukukanda/kukusugua kwa nguvu kwa kukutumia hiyo kuliko kufanya mwenyewe maana hutajikanda vizuri
   
 5. m

  mashambani kwao JF-Expert Member

  #5
  Apr 18, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  asante mkuu nitajaribu hiyo.
   
 6. RGforever

  RGforever JF-Expert Member

  #6
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 6,164
  Likes Received: 1,890
  Trophy Points: 280
  Usikimbilie Dawa za Misuli mkuu.

  Hizo ni dalili za kawaida kwa Mtu anayeanza Mazoezi au kama uliacha mazoezi kwa mda Mrefu.

  Unachotakiwa kufanya ni Kurudia tena mazoezi hayo kesho na uendelee kufanya mazoezi tena na tena misuli itazoea na utakuwa Fit.

  Misuli yako ilikuwa imerelax kwa Mda mrefu kwahiyo umeivuta ndo Mana inauma.. Fanya mazoezi tena na tena.. Hata ukiwa unakimbia mapafu huwa yanauma na kuvuta sana lakini ukifanya mazoezi ya kukimbia mara kwa mara yanazoea na yanakuwa yametanuka vya kutosha.
   
 7. m

  mashambani kwao JF-Expert Member

  #7
  Apr 19, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nashukuru kwa michango wakuu.
   
Loading...