Nimeelewa kwanini wabunge wa CHADEMA, Lijualikali na Kiwanga huwekwa jela kila mara, kumbe Morogoro ni shamba la bibi

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,600
141,419
Kwa kweli baada ya ziara ya mh Waziri mkuu Kassim Majaliwa mkoani Morogoro na kushuhudia uchafu na uozo wa kila aina kwenye halmashauri nawapa pole sana wabunge wa upinzani kwa misukosuko waliyopitia.

Kumbe kuwafunga funga jela ilikuwa ni kuwaziba macho ili wasiupigie kelele ufisadi wa fedha za miradi badala yake wawe busy na kesi za kutengenezwa mahakamani.

Somo:
Ukiona sehemu wapinzani wanabaguliwa na kusumbuliwa na wengine wanalazimishwa kuhamia CCM yumkini mahali hapo pana ufisadi wa kutisha ref: manispaa za Ilala na Kinondoni pia

Maendeleo hayana vyama
 
Wewe huwezi kutoa kauli ya kuaminika. Umeamkaje lakini, tusalimiane
 
Watu wanapiga posho ya 4.5mil kabla hata Majaliwa hajaondoka?!!!

Kweli Morogoro kiboko....machinjio ya vingunguti cha mtoto!
Na kesho yake mtoto mpendwa akajibu anashindwa kujiuzulu tu sababu ya njaa.

Alivyoingia tu kwny V8 yake baada ya kulaumiwa kutokana na machinjio ya vingunguti akawa anapiga wimbo kwa sauti ya juu,'nina baba yangu asiyeshindwa kamweee nina baba yangu asiyeshindwa kamweeeeeeeeeeeeeeeeeee'
 
Kwa kweli baada ya ziara ya mh Waziri mkuu Kassim Majaliwa mkoani Morogoro na kushuhudia uchafu na uozo wa kila aina kwenye halmashauri nawapa pole sana wabunge wa upinzani kwa misukosuko waliyopitia.

Kumbe kuwafunga funga jela ilikuwa ni kuwaziba macho ili wasiupigie kelele ufisadi wa fedha za miradi badala yake wawe busy na kesi za kutengenezwa mahakamani.

Somo:
Ukiona sehemu wapinzani wanabaguliwa na kusumbuliwa na wengine wanalazimishwa kuhamia CCM yumkini mahali hapo pana ufisadi wa kutisha ref: manispaa za Ilala na Kinondoni pia

Maendeleo hayana vyama
Mkuu vp tena, mbona hivyo...nini kimekukuta?
 
Na kesho yake mtoto mpendwa akajibu anashindwa kujiuzulu tu sababu ya njaa.
Alivyoingia tu kwny V8 yake baada ya kulaumiwa kutokana na machinjio ya vingunguti akawa anapiga wimbo kwa sauti ya juu,'nina baba yangu asiyeshindwa kamweee nina baba yangu asiyeshindwa kamweeeeeeeeeeeeeeeeeee'
Baba keagan anajua "dadi" hawezi kumnyima kikombe cha maziwa
 
Back
Top Bottom