Nimeelewa kwanini unatakiwa kumheshimu mkeo sana

Mwanaume inabidi ulale kimachale sio unajiachia tu kama gogo una koroma tu ... Ishi kama mlinzi ..ukikaa vibaya one mistake one goal ... TRUST YOUR INSTINCT
Hahahahahahaha sasa ukiwa na wasi wasi kila saa hata kum-do utashindwa. Utashindwa ku-erect kwa kuwa una hofu naye. Dawa ni kuwa free tu. Hawezi kukuua kama ni mkeo, labda uwe unaishi naye kiadui.
 
Daaah! Daah yaani mtuheshimu kwakuwa tunaweza kuwaua?
Mke dawa yake ni miti, akitandikwa vizuri akashiba hatakuwa na nia ya kuku ua
huo mtalimbo ni km mswaki anachangia na wanawake wengine huwezi jua anakulindia siri nyingi ambapo wenzake wakijua watamdharau ndio maana
Bibie akisikia unatoka nje, anaumia labda ni kibamia unakionesha kwa wenzake au ni mchovu kwenye kuchapa mwanamume unaishia mapajani umeshusha,
Kuna Mikoa mingine km Mara unachanganya na migumi utaona Mke katulia na anasahau na kwao,
kukuua hutasikia tena kwani alichokifuata kinamshibisha
 
Hapo ndipo mnawachanganya wanawake kwani wewe huwezi kumua au kumuwekea sum?

Ukweli ni kwamba mkeo au mumeo anawajibu wa kukulinda wala sio hisani kitendo cha kukubali kuwa mke au mume kila mmoja anakuwa amekula kiapo na anapaswa kuwajibika kwa mwenzie over
 
Kuna kipindi nikiwa mwanafunzi nilipopita JKT, kuna afande aliwahi kusema kuwa mheshimu mno mkeo unayelala naye kitanda kimoja, kwani kukuua ni dk 0 tu.

Akatoa na mfano kuwa je, akikuwekea sumu au kukunusisha dawa za kukuua, ukiwa usingizini utapona? Jibu ni hapana!

Tuwaheshimu wake zetu, wana siri zetu nyingi mno, wakisema wamwage tumekwisha. Pia ogopa sana mtu unaye-share naye kitanda.

Nawasilisha, uzi tayari.
Sawa,na Wanawake nao watuheshimu Sana maana hata wao tumewabebea siri nyingi.Nasema uongo ndugu yangu???.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom