Nimeelewa kwa nini unatakiwa kumheshimu mkeo sana

Jana Ulirudi Usiku

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
378
500
Mwanaume inabidi ulale kimachale sio unajiachia tu kama gogo una koroma tu ... Ishi kama mlinzi ..ukikaa vibaya one mistake one goal ... TRUST YOUR INSTINCT
Hahahahahahaha sasa ukiwa na wasi wasi kila saa hata kum-do utashindwa. Utashindwa ku-erect kwa kuwa una hofu naye. Dawa ni kuwa free tu. Hawezi kukuua kama ni mkeo, labda uwe unaishi naye kiadui.
 

Ukwaju

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
12,845
2,000
Daaah! Daah yaani mtuheshimu kwakuwa tunaweza kuwaua?
Mke dawa yake ni miti, akitandikwa vizuri akashiba hatakuwa na nia ya kuku ua
huo mtalimbo ni km mswaki anachangia na wanawake wengine huwezi jua anakulindia siri nyingi ambapo wenzake wakijua watamdharau ndio maana
Bibie akisikia unatoka nje, anaumia labda ni kibamia unakionesha kwa wenzake au ni mchovu kwenye kuchapa mwanamume unaishia mapajani umeshusha,
Kuna Mikoa mingine km Mara unachanganya na migumi utaona Mke katulia na anasahau na kwao,
kukuua hutasikia tena kwani alichokifuata kinamshibisha
 

fsami

Member
Sep 28, 2021
17
45
Hapana Mke dawa yake ni miti, akitandikwa vizuri mbona kesi imeishia? akuue ili iwe Nini slide Hilo jiti la mswaki aka share na wenzake?
Bibie alisikia unatoka nje kweli anaumia na huenda ni kibamia unakionesha kwa wenzake au ni mchovu kwenye kuchapa ndipo hawataki,
Kuna Mikoa mwingine unachanganya na migumi utaona harusi kwao wala kukuua hutasikia, hii ni vijana wa kileo
Natamani kama urudie kuandika vile. Kuna point za msingi ulikuwa unazitoa ila maneno yamechanganyana nimekosa mtiririko.
 

MKAKA HALISI

JF-Expert Member
Dec 5, 2018
373
1,000
Hapo ndipo mnawachanganya wanawake kwani wewe huwezi kumua au kumuwekea sum?

Ukweli ni kwamba mkeo au mumeo anawajibu wa kukulinda wala sio hisani kitendo cha kukubali kuwa mke au mume kila mmoja anakuwa amekula kiapo na anapaswa kuwajibika kwa mwenzie over
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom