Jana Ulirudi Usiku
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 2,363
- 2,261
Kuna kipindi nikiwa mwanafunzi nilipopita JKT, kuna afande aliwahi kusema kuwa mheshimu mno mkeo unayelala naye kitanda kimoja, kwani kukuua ni dk 0 tu.
Akatoa na mfano kuwa je, akikuwekea sumu au kukunusisha dawa za kukuua, ukiwa usingizini utapona? Jibu ni hapana!
Tuwaheshimu wake zetu, wana siri zetu nyingi mno, wakisema wamwage tumekwisha. Pia ogopa sana mtu unaye-share naye kitanda.
Nawasilisha, uzi tayari.