Nimedukua wasap ya mke wangu mapigo ya moyo Yanaenda mbio dawa gani nitumie

Hahahahha
Halafu hizi mambo za wanaume na udukuzi jf zimeingia kila siku lazima walete thread
Wanatakiwa wafanye kazi wawaridhishe wake zao tatizo safari hazifi hivyo wanakuwa na wasiwasi sana yakuwa gari zinazimika mapema mwendo wa kusukuma inashindikana ni mwendo wa paki pembeni

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom