cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 26,769
- 73,481
Hao ndo wanaongoza kwa michepuko miiingi adi kuleta watoto ptuuuuu
Eeeeeeh
Alale tu usiku huu 😀
Hao ndo wanaongoza kwa michepuko miiingi adi kuleta watoto ptuuuuu
Mi hata huruma juu yao ishanitoka kabisa, unakuta lijitu adi linalala nje, ila sasa amkute mkewe hata anatongozwa hajakubali linakuja kulialia humuEeeeeeh
Alale tu usiku huu 😀
trae ignorancia jaja
Wakati Mrusi anamdukua Mmarekani, Bongo anadukuliwa mke.
Wakuu natoa rai kwa wale wanaopenda kudukua mawasiliano ya wenza wao waache taifa litapoteza Nguvu kazi.. Msaada dawa za kutuliza mapigo ya moyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu natoa rai kwa wale wanaopenda kudukua mawasiliano ya wenza wao waache taifa litapoteza Nguvu kazi.. Msaada dawa za kutuliza mapigo ya moyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio ukome mkuu hamna mioyo ya uvumilivu mnajifanya wadukuaji
Kama huwezi kumuacha mkeo kwa nn umdukue?