KARANJA 007
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,990
- 2,513
Mama mwenye gari sasa unatushauri tufanyeje?una maana unataka tupate ukimwi?Nilishawaambia kuchokonoa na kufatilia simu ya mwenzi wako nikutafuta kuachana tu hakuna kingine maana humo kuna mengi mno