Nimedukua simu ya mke wangu, Simu zetu zina siri nzito, nakufa mimi

Acha ujinga utakuja jiua kwa presha... Haina maana yoyote kuweka mitego ya kumfumania mwanamke unaempenda alaf mwisho siku huwez kumuacha
 
Nimesoma thread yako inahuzunisha sana. Jitahidi kusahau ila nakushauri nenda duka la dawa nunua dawa hii Amityptilline tabs 25mg Meza usiku tu kila siku unapolala itakupa Muda mzuri wa kupumzika na baada ya Muda utasahau yote. Take care na usinywe pombe. Mimi ni Dr. Itakysaidia kama itakusumbua usisite kunutafuta. Pole sana
 
1469417429847.jpg
 
Inaitwa Amitriptyline na sio Amityptilline kama ulivyoandika...Na wewe ni Dr u......ra au???
 
weka ushahidi hapa wa hizo mambo ulizodukuwa kusapot haya uliyoyaandika
 
Back
Top Bottom