Nimedownload browser ya TOR, niende wapi sasa?

Sijui sheria za Jf zinasemaje hivyo sitaweka link.

Ila kifupi hata Jf inaweza kuwa dark/deep web, Kuna vitu kibao watu wanauziana humu, guru, tunneling software, receiver za kuichakachua TV etc.

Kifupi Mkuu hizo darkweb ni Maeneo ambayo watu Wana discuss ama kununua ama kupata taarifa mbalimbali ya vitu ambavyo vingi ni haramu, mfano wananunua madawa ya kulevya, silaha na vitu vyengine ambayo si rahisi kuvipata.

Na hakuna eneo exactly ambalo ni dark web ni website hizi hizi tu. Sema wanafanya siri ikigundulika wanahama.

Nitakutafuta unielekeze vizuri
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom