Nimedisco baada ya kukamatwa namfanyia mtihani Mwanafunzi mwenzangu

beny jr

JF-Expert Member
Jul 15, 2018
822
1,133
Habari wanajamvi,

Natanguliza samahani kwa kuwapotezea muda ila nimeandika huu uzi kwa lengo la kuomba ushauri mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu ndio nilikua namaliza ila nimeshindwa baada ya kufukuzwa chuo na sababu ni kumfanyia mwanafunzi mwenzangu mtihani wa sapp huyu rafiki yangu

Nimejuana nae toka mwaka wa kwanza na changamoto yake toka mwaka ule wa kwanza alikamatwa MATHEMATICS sasa yeye katoka HGL na hakua na msingi wa hesabu aliibebea toka mwaka huo sasa mwaka huu akaona lazima agraduate na njia pekee ni kumuomba mtu amfanyie

Tulienda Kariakoo kuchongesha ID ikafika siku ya mtihani akanipa niliingia kufanya nikamuonyesha examination invigirator ID akaingalia akaniruhusu nifanye kibaya baada ya kumaliza msimamizi akapata hofu akasema nimpe ID tena aiangalie ndipo nilipokamatwa na kupelekwa admission nilipigwa na walinzi mpaka nikamtaja mwenzangu

Sasa hukumu leo imetoka nimefutwa chuo na mimi ni yatima sina wazazi yaani nimesomeshwa na serikali nilipata boom %100 na o-level ni taasisi za dini ndio zilinipa msaada wa kunilipia elfu ishirini ya ada na vifaa vya shule hapa

Nimechanganyikiwa sina hata cha kufanya nahisi dunia imenielemea naombeni ushauri wenu tafadhali
 
Sio kama hatukuhurumii, tunakuhurumia sana ila hakika nakuhakikishia laiti ungekuja kuuliza hapa jukwaani kuhusu kumfanyia mwenzako mthani ushauri wetu ungekuwa na maana sana leo hii! Sasa unahisi saa hizi kuna cha kufanya tena mkuu? Kukutetea wewe ni sawa na kusema ni sahihi kufanyiana mitihani vyuoni ila laiti ungejua mazingira yako ya uyatima na misaada uliyopewa kukufikisha hapo ungeongeza umakini sana kwenye maamuzi yako.

Shukuru Mungu umefukuzwa ukaachwa huru, wangeweza kabisa kukupa na kesi ya kughushi na ukaenda jela kirahisi kabisa.

All in all pole sana. Hakuna namna sasa ni kujipanga upya tu
 
Sio kama hatukuhurumii, tunakuhurumia sana ila hakika nakuhakikishia laiti ungekuja kuuliza hapa jukwaani kuhusu kumfanyia mwenzako mthani ushauri wetu ungekuwa na maana sana leo hii! Sasa unahisi saa hizi kuna cha kufanya tena mkuu? Kukutetea wewe ni sawa na kusema ni sahihi kufanyiana mitihani vyuoni ila laiti ungejua mazingira yako ya uyatima na misaada uliyopewa kukufikisha hapo ungeongeza umakini sana kwenye maamuzi yako.

Shukuru Mungu umefukuzwa ukaachwa huru, wangeweza kabisa kukupa na kesi ya kughushi na ukaenda jela kirahisi kabisa.
Ni kweli kaka ninachoumia sina baba sina mama na nilikua na pass mark nzuri na dunia inaamini katika certificate sina cha kuipa dunia nashindwa nianzie wapi kutoka sasa
 
Habari wanajamvi natanguliza samahani kwa kuwapotezea muda ila nimeandika huu uzi kwa lengo la kuomba ushauri mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu ndo nilikua namaliza ila nimeshindwa baada ya kufukuzwa chuo na sababu ni kumfanyia mwanafunzi mwenzangu mtihani wa sapp huyu rafiki angu nimejuana nae toka mwaka wa kwanza na changamoto yake toka mwaka ule wa kwanza alikamatwa MATHEMATICS sasa yeye katoka HGL na hakua na msingi wa hesabu aliibebea toka mwaka huo sasa mwaka huu akaona lazima agraduate na njia pekew ni kumuomba mtu amfanyie tulienda kariakoo kuchongesha ID ikafika siku ya mtihani akanipa niliingia kufanya nikamuonyesha examination invigirator Id akaingalia akaniruhusu nifanye kibaya baada ya kumaliza msimamizi akapata hofu akasema nimpe id tena aiangalie ndipo nilipokamatwa na kupelekwa admission nilipigwa na walinzi mpaka nikamtaja mwenzangu sasa hukumu leo imetoka nimefutwa chuo na mimi ni yatima sina wazazi yan nimesomeshwa na serikali nilipata boom %100 na olevel ni taasisi za dini ndo zilinipa msaada wa kunilipia elfu ishirini ya ada na vifaa vya shule hapa nimechanganyikiwa sina hata cha kufanya nahisi dunia imenielemea naomben ushauri wenu tafadhali
Kwa ulichokifanya ulitakiwa kuchezeshwa hilo DISCO na adhabu nyingine kubwa zaidi.
Maana ungeingia mtaani ukapata kazi ungekua kirusi kibaya sana
 
Habari wanajamvi natanguliza samahani kwa kuwapotezea muda ila nimeandika huu uzi kwa lengo la kuomba ushauri mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu ndo nilikua namaliza ila nimeshindwa baada ya kufukuzwa chuo na sababu ni kumfanyia mwanafunzi mwenzangu mtihani wa sapp huyu rafiki angu nimejuana nae toka mwaka wa kwanza na changamoto yake toka mwaka ule wa kwanza alikamatwa MATHEMATICS sasa yeye katoka HGL na hakua na msingi wa hesabu aliibebea toka mwaka huo sasa mwaka huu akaona lazima agraduate na njia pekew ni kumuomba mtu amfanyie tulienda kariakoo kuchongesha ID ikafika siku ya mtihani akanipa niliingia kufanya nikamuonyesha examination invigirator Id akaingalia akaniruhusu nifanye kibaya baada ya kumaliza msimamizi akapata hofu akasema nimpe id tena aiangalie ndipo nilipokamatwa na kupelekwa admission nilipigwa na walinzi mpaka nikamtaja mwenzangu sasa hukumu leo imetoka nimefutwa chuo na mimi ni yatima sina wazazi yan nimesomeshwa na serikali nilipata boom %100 na olevel ni taasisi za dini ndo zilinipa msaada wa kunilipia elfu ishirini ya ada na vifaa vya shule hapa nimechanganyikiwa sina hata cha kufanya nahisi dunia imenielemea naomben ushauri wenu tafadhali
Pole sana, Wema umekuponza. Lakini nilichogundua, wewe ulisoma sayansi na unaweza hisabati na sayansi pia.

Tafuta scholarship ukasome nje ya nchi. Kozi nyingi za sayansi zina ufadhili.
 
Mi mambo ya huruma wakati yanahatarisha maisha au hatma yangu ndo sifanyi, nikiwa chuo kuna jamaa yangu sana akataka nimpe cheti changu cha A level nikamkatalia akaniona mbaya mwishowe Magufuli akafanya yake kwenye vyeti feki, ningempa najua na mimi ningekuwa kwenye kibano.

Mkuu we tafuta namna nyingine ya kuishi kama kufanya biashara na mengine kama hayo shule hapo ndo basi.
 
Habari wanajamvi natanguliza samahani kwa kuwapotezea muda ila nimeandika huu uzi kwa lengo la kuomba ushauri mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu ndo nilikua namaliza ila nimeshindwa baada ya kufukuzwa chuo na sababu ni kumfanyia mwanafunzi mwenzangu mtihani wa sapp huyu rafiki angu nimejuana nae toka mwaka wa kwanza na changamoto yake toka mwaka ule wa kwanza alikamatwa MATHEMATICS sasa yeye katoka HGL na hakua na msingi wa hesabu aliibebea toka mwaka huo sasa mwaka huu akaona lazima agraduate na njia pekew ni kumuomba mtu amfanyie tulienda kariakoo kuchongesha ID ikafika siku ya mtihani akanipa niliingia kufanya nikamuonyesha examination invigirator Id akaingalia akaniruhusu nifanye kibaya baada ya kumaliza msimamizi akapata hofu akasema nimpe id tena aiangalie ndipo nilipokamatwa na kupelekwa admission nilipigwa na walinzi mpaka nikamtaja mwenzangu sasa hukumu leo imetoka nimefutwa chuo na mimi ni yatima sina wazazi yan nimesomeshwa na serikali nilipata boom %100 na olevel ni taasisi za dini ndo zilinipa msaada wa kunilipia elfu ishirini ya ada na vifaa vya shule hapa nimechanganyikiwa sina hata cha kufanya nahisi dunia imenielemea naomben ushauri wenu tafadhali
Nyie mnatakiwa mfunguliwe na kesi nyingine ya uhujumu uchumi sababu mnachangia kuharibu Taifa.

Kufukuzwa tuu chuo haitoshi kwa maoni yangu
 
Nyie mnatakiwa mfunguliwe na kesi nyingine ya uhujumu uchumi.sababu mnachangia kuharibu Taifa.

kufukuzwa tuu chuo haitoshi kwa maoni yangu
Usiseme hivyo mkuu sijafanya kitu kibaya zaidi ya kuharibu maisha yangu nililipa ada na mwenzangu hadaiwi ada
 
Back
Top Bottom