Sendoro Mbazi
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 2,614
- 1,498
Ushauri kama huu unapotoshaTumia yote 30mil kununua gari SUV mambo ya wese usiwaze gari sasa zinatumua umeme zaidi, isitoshe jioni utakula vichwa za changia mafuta buku 2 kwa kichwa.
Mjengo achana nao, utajiseti huo baadae usiuache ushauri huu wala usiskilize ushauri mwingine, sasa ziba masikio