Nimechukua mkopo benki, naomba ushauri katika namna niliyopanga kuutumia

Ningeomba ushaur humu wengne wangesem nichukue wengine wangesema no.. sasa nimeamua kuchukua na hayo ndio mahitaji yangu nimeomba ushaur utakaonipendeza nitaufata
Mkuu kupanga ni kuchagua fanya vile roho inapenda
 
Mkuu matumiz ya pesa ni wewe mwenyew lakn ushauri wangu ni kwamba ukinunua gari kumbuka kukata bima majanga ni daily hasa hapa mjin dsm, nitakupa elim ya bima ipi inafaa kama utahitaj by jubilee insurance agent
 
Kitu chako chochote kile ambacho kinakugharimu basi kitu hicho ni liability (dhima) na ambacho kinakuletea mkwanja basi hicho ni asset (mali).

Kama nyumba na gari lako zina kugharimu pesa, financially speaking tutaziita ni liabilities. Lakini kama una nyumba nyingine zina wapangaji na unakusanya kodi tutaziita nyumba hizi assets, hali kadhalika kama una magari mengine yanayokuletea kipato, magari hayo pia ni assets.

Chacharika ili uwe na assets (mali) nyingi kuliko liabilities (dhima). Hapo utakuwa umetoka kwa kiwango cha lami.

Una undugu na Dr. W. Slaa! Maana na yeye alitufafanulia kwa kina sana ule mwaka 2015 kuhusu hii mada ya asset na liability! Binafsi nimekuelewa sana.
 
Piga mjengo mwanawane!!!
Habari zenu

Nimekopa shilingi milion 30 bank CRDB. Nahitaji kununua gari mojawapo katika hizi IST, ALEX, RACTIS, CARINA na pesa itayobaki nikamalizie mjengo wangu chanika (15MIL) na ibaki pesa kidogo ya kula bata. Je, mpango wangu unafaa?

Naomba ushauri wadau

NB: Nimechagua hizo gari kwa ajili ya matumizi madogo ya "wese"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endelea na mpango wako ila ujitayarishe nyumba yako kupigwa mnada kwa kukosa kurejesha deni hilo.
 
Habari zenu

Nimekopa shilingi milion 30 bank CRDB. Nahitaji kununua gari mojawapo katika hizi IST, ALEX, RACTIS, CARINA na pesa itayobaki nikamalizie mjengo wangu chanika (15MIL) na ibaki pesa kidogo ya kula bata. Je, mpango wangu unafaa?

Naomba ushauri wadau

NB: Nimechagua hizo gari kwa ajili ya matumizi madogo ya "wese"

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpango wako unafaa kiasi
Matumizi uliyopangia yote yanafaa kwa kiasi chake (sio matumizi mabaya sana wala sio mazuri sana kwakuwa gari ni muhimu kwa mizunguko ya mjini na nyumba ni muhimu kwa ajili ya kujisitiri lakini pia taarifa nyingi hujaweka wazi ambazo zingesaidia kuchambua mpango wako vizuri zaidi) na chanzo cha kipato chako hujaweka wazi; hata hivyo kwa vyovyote vile mpaka kufikia uamuzi huo maana yake ni kwamba hata baada ya kukatwa rejesho kwenye kazi au biashara yako kama chanzo cha kipato chako naamini bado utamudu maisha vizuri

Angalizo langu na ushauri wangu kwako ni kwamba kama unategemea ajira ya kuajiriwa kama chanzo cha kipato chako ni vyema ukawaza mbali zaidi kwa kuhakikisha asilimia fulani ya huo mkopo unaiwekeza sehemu ili ikusaidie kulipia rejesho la huo mkopo. Kimsingi milioni 30 ulizochukua bank ni mishahara yako ya mbeleni huko sasa ili kujiandaa kuulipa na kupunguza makali ya rejesho ni vyema ukawa na chanzo kingine cha kipato; ukinunua gari na kumalizia ujenzi maana yake ni kwamba ndani ya miezi sita hiyo milioni 30 itakuwa imeisha lakini kumbuka deni litabaki kwa wastani wa kati ya miaka mitano na zaidi na wakati huu wote matumizi yatabaki kama yalivyo au kuongezeka kulingana na mipango yako lakini kipato chako kitashuka kidogo kwasababu pesa nyingine uliyokuwa unaipata sasa utaielekeza kwenda kulipa rejesho la mkopo

Vinginevyo nikupe hongera kwa kuweza kumiliki gari na nyumba kwakuwa maisha ni haya haya tuu
 
Kitu chako chochote kile ambacho kinakugharimu basi kitu hicho ni liability (dhima) na ambacho kinakuletea mkwanja basi hicho ni asset (mali).

Kama nyumba na gari lako zina kugharimu pesa, financially speaking tutaziita ni liabilities. Lakini kama una nyumba nyingine zina wapangaji na unakusanya kodi tutaziita nyumba hizi assets, hali kadhalika kama una magari mengine yanayokuletea kipato, magari hayo pia ni assets.

Chacharika ili uwe na assets (mali) nyingi kuliko liabilities (dhima). Hapo utakuwa umetoka kwa kiwango cha lami.
Nimekuelewa sana mkuu
 
Mpango wako unafaa kiasi
Matumizi uliyopangia yote yanafaa kwa kiasi chake (sio matumizi mabaya sana wala sio mazuri sana kwakuwa gari ni muhimu kwa mizunguko ya mjini na nyumba ni muhimu kwa ajili ya kujisitiri lakini pia taarifa nyingi hujaweka wazi ambazo zingesaidia kuchambua mpango wako vizuri zaidi) na chanzo cha kipato chako hujaweka wazi; hata hivyo kwa vyovyote vile mpaka kufikia uamuzi huo maana yake ni kwamba hata baada ya kukatwa rejesho kwenye kazi au biashara yako kama chanzo cha kipato chako naamini bado utamudu maisha vizuri

Angalizo langu na ushauri wangu kwako ni kwamba kama unategemea ajira ya kuajiriwa kama chanzo cha kipato chako ni vyema ukawaza mbali zaidi kwa kuhakikisha asilimia fulani ya huo mkopo unaiwekeza sehemu ili ikusaidie kulipia rejesho la huo mkopo. Kimsingi milioni 30 ulizochukua bank ni mishahara yako ya mbeleni huko sasa ili kujiandaa kuulipa na kupunguza makali ya rejesho ni vyema ukawa na chanzo kingine cha kipato; ukinunua gari na kumalizia ujenzi maana yake ni kwamba ndani ya miezi sita hiyo milioni 30 itakuwa imeisha lakini kumbuka deni litabaki kwa wastani wa kati ya miaka mitano na zaidi na wakati huu wote matumizi yatabaki kama yalivyo au kuongezeka kulingana na mipango yako lakini kipato chako kitashuka kidogo kwasababu pesa nyingine uliyokuwa unaipata sasa utaielekeza kwenda kulipa rejesho la mkopo

Vinginevyo nikupe hongera kwa kuweza kumiliki gari na nyumba kwakuwa maisha ni haya haya tuu
Shukran mkuu..nina vyanzo viwili vya mapato per naweza pata sichini ya efu kumi 15 ukijumlisha na mshahara i think naweza kumudu kabsa hata baada ya kuanza kukatwa mshahara. Na istoshe sina familia
 
Ila kwa mhemko wa hiyo fedha,sidhani kama ataweza subiri hadi ije kwa kuagiza mbali .
Kuagiza siwezi kabsa kuagiza maan hio ndio gar yang ya kwanza. Na hadi sasa nimeshatembelea yards nyingi kinondoni bei zake ni hzo hzo kama za kuagiza
 
Mkuu matumiz ya pesa ni wewe mwenyew lakn ushauri wangu ni kwamba ukinunua gari kumbuka kukata bima majanga ni daily hasa hapa mjin dsm, nitakupa elim ya bima ipi inafaa kama utahitaj by jubilee insurance agent
Mkuu ntakufata pm hivi karibuni
 
Akili za kuwaza kununua gari aina ya IST au Alex kwa pesa ya mkopo sio akiri za maendeleo wewe utakua mtumishi tu, hujazoea hela mshahara wako ndo umekua dhamana ya mkopo kwa miaka kama mitano hapo naona kama umekaribisha umasikini rasmi katika familia......

Sent using Jamii Forums mobile app
Haa😁😂😂
Mtawatambua Kwa Matendo
 
Kuagiza siwezi kabsa kuagiza maan hio ndio gar yang ya kwanza. Na hadi sasa nimeshatembelea yards nyingi kinondoni bei zake ni hzo hzo kama za kuagiza
Mkuu, uwe makini zaidi na yadi za uswahilini. Kuna jamaa aliwahi uza gari yake ; akaongezea hela,kenda yard kaikuta gari ile yake imebadilishwa rangi inang' aa kuliko hata za kutoka Dubai. Baadhi ya yards haziaminiki.
 
I dont mean brand,I mean used in Japan, unanunuaje IST for 14m show room kama sio ulich
Ist

Ist ya 15mil, 14mil, na 12mil ya nini wakati hapa hapa bongo zipo Alphard au Toyota hiace custom au Nissan caravan za hizo bei tena 15mil zimenyooka na niused from Japan, zimetembea mileage kadhaa.
Mi nasemaga hizo ist, vitz, raum, na mfanano huo sio gari za kigenteleman Bora ununue Pickup Toyota Hilux ndogo new model.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom