Nimechukua Maamuzi ya Msingi ya Kuelimisha Watanzania

STEIN

JF-Expert Member
Aug 29, 2010
1,770
552
Naona kuna watu wanahangaika usiku na mchana kwa sababu ya matumbo yao. Kama tutakaa kimya hatutaweza kupata katiba mpya kwani kuna choko choko zinaendelezwa na wanganga njaa kuuhusu maamuzi ya CC ya chadema. Kuna waandishi wanaandika utumbo wahariri nao wamepoyea, wanaandika hata vitu ambavyo viko very obvious ni uwongo huhitaku kufanya utafiti.
Tumeshawafahamu sasa kazi ni mmoja tu kwenda kuelewesha waTanzania.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom