Mjasiriamali1
JF-Expert Member
- Jun 8, 2009
- 891
- 237
Nisharipoti hili swala zoomtanzania wamekaa kimya. Nani kamtuma Bwana Ibrahimu? Safari hii nitahakikisha huu mtandao wa zoomtanzania unafungwa. Jumatatu namka nao TCRA, waitwe wajielezee huyu Ibrahimu ni nani? Huu ni utapeli wa njia ya mitandao. Wezi wakubwa hawa.