Nimechoshwa na haya matangazo ya kampuni za simu

UNDERPRIVELEGED

New Member
Oct 16, 2012
1
0
1.Simu inaita,unaacha kazi/kikao unapokea kumbe ni tangazo la huduma zao.
2.Unapiga simu inaanza kuongea maneno kibao,halafu "namba unayopiga haipatikani
3. Ukiweka salio utapata mara mbili kumbe ni uwongo/wizi mtupu.
4.Ikifika jioni saa kumi na moja mpaka saa nne usiku, gharama ni zaidi ya Sh 200/dk
5.KUTUMA/KUTOA PESA NI BURE-wakati ni UWONGO

Voda wamezidi uongo sasa hivi ile Super cheka imekuwa geresha tu awali ilikuwa Dak 30 SMS 100 Na 50MB Wamepunguza mpaka Dak 15 halafu 50 MB Ni Uongo SMS Pia Uongo hazifiki 100
 
Back
Top Bottom