Jamani it's getting bad Yaani ukienda yahoo news comment zote ni za ajabu na yahoo huwaga hawachii comment za hivyo .Cnn ndio usiseme ila Waandishi Woote wame camp nje ya hospital kuanza mashindano ya ratings .Ila USA wawache wa south Africa wa Mlilie Mandela wao Jamani .