Nimechoshwa na blog za yahoo CNN kuachia comment za kumwita Nelson Mandela Terriorist

N

Natalia

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2011
Messages
3,632
Likes
201
Points
160
N

Natalia

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2011
3,632 201 160
Jamani it's getting bad Yaani ukienda yahoo news comment zote ni za ajabu na yahoo huwaga hawachii comment za hivyo .Cnn ndio usiseme ila Waandishi Woote wame camp nje ya hospital kuanza mashindano ya ratings .Ila USA wawache wa south Africa wa Mlilie Mandela wao Jamani .
 
kiwatengu

kiwatengu

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Messages
14,902
Likes
4,081
Points
280
kiwatengu

kiwatengu

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2012
14,902 4,081 280
Jamani it's getting bad Yaani ukienda yahoo news comment zote ni za ajabu na yahoo huwaga hawachii comment za hivyo .Cnn ndio usiseme ila Waandishi Woote wame camp nje ya hospital kuanza mashindano ya ratings .Ila USA wawache wa south Africa wa Millie Mandela wao Jamani .
mandela bado yupo hai....
 
TIMING

TIMING

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2008
Messages
21,833
Likes
162
Points
160
TIMING

TIMING

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2008
21,833 162 160
My friend, tofautisha CNN na contributions za bloggers wake; I am watching CNN, sijaona hata mara moja wamemuita terrorist... You have got some serious issues, sijui una IQ gani but its definitely on the imbechili side

Issue ya individual comments za wachangiaje kumuita Mandela terrorists mbona hata humu wapo wanaoita kila mtu jina lolote lile??... if you cant take the heat, ondoka kuangalia hayo mabulogi, fanya kinachokupa nafuu

BTW, what is yahoo CNN?
 
Songoro

Songoro

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2009
Messages
4,129
Likes
51
Points
0
Songoro

Songoro

JF-Expert Member
Joined May 27, 2009
4,129 51 0
Ungesoma Washington Post wakat wa Kifo cha Mwl Nyerere ungeona jinsi wanavyoshangaa Watanganyika ( Watanzania wakat huo) wanamlilia mtu wa Aina ya Nyerere!
 
N

Natalia

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2011
Messages
3,632
Likes
201
Points
160
N

Natalia

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2011
3,632 201 160
Ungesoma Washington Post wakat wa Kifo cha Mwl Nyerere ungeona jinsi wanavyoshangaa Watanganyika ( Watanzania wakat huo) wanamlilia mtu wa Aina ya Nyerere!
Nilikuwa USA when Nyerere died .Nyerere aliitwa" champion of socialism na na equal rights "Na Pia waliongelea suit Zake za kufanana na Raisi wa china Mao .Nyerere hakuiitwa terrorist
 
Mkereketwa_Huyu

Mkereketwa_Huyu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2011
Messages
6,634
Likes
2,316
Points
280
Mkereketwa_Huyu

Mkereketwa_Huyu

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2011
6,634 2,316 280
Jamani it's getting bad Yaani ukienda yahoo news comment zote ni za ajabu na yahoo huwaga hawachii comment za hivyo .Cnn ndio usiseme ila Waandishi Woote wame camp nje ya hospital kuanza mashindano ya ratings .Ila USA wawache wa south Africa wa Mlilie Mandela wao Jamani .

Kweli asili haipotei kamwe. Kama ni wewe kweli Natalia nakuomba usikie kidogo. Yahoo ni website, na CNN ni channel ya TV pia wana website yao kwa jina hili hilo. Hizo blogu za Yahoo na CCN ni zipi? Muke ya mzungu koko weweee, shauri yako na upotoshaji wako wa kutojuwa vitu.
 
Last edited by a moderator:
N

Natalia

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2011
Messages
3,632
Likes
201
Points
160
N

Natalia

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2011
3,632 201 160
My friend, tofautisha CNN na contributions za bloggers wake; I am watching CNN, sijaona hata mara moja wamemuita terrorist... You have got some serious issues, sijui una IQ gani but its definitely on the imbechili side

Issue ya individual comments za wachangiaje kumuita Mandela terrorists mbona hata humu wapo wanaoita kila mtu jina lolote lile??... if you cant take the heat, ondoka kuangalia hayo mabulogi, fanya kinachokupa nafuu

BTW, what is yahoo CNN?
My IQ is160 .Nimesema blog ya CNN na Yahoo news .Una macho na akili kasome uone .Nimesema Tv Mimi hapo au unarukiarukia tu .Take the heat for what ?Get a life
 
N

Natalia

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2011
Messages
3,632
Likes
201
Points
160
N

Natalia

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2011
3,632 201 160
Kweli asili haipotei kamwe. Kama ni wewe kweli Natalia nakuomba usikie kidogo. Yahoo ni website, na CNN ni channel ya TV pia wana website yao kwa jina hili hilo. Hizo blogu za Yahoo na CCN ni zipi? Muke ya mzungu koko weweee, shauri yako na upotoshaji wako wa kutojuwa vitu.
CNN ina blog na yahoo Ina blog .Type CNN blog nelson Mandela ( blog Kama blog zingine ) Watanzania full negativity kuna blog ya CNN ,FOXNEWS nk .Labda wewe unaenda website ila kuna blog ya CNN .Micropedia washaanza kuandika orbituary ya Mandela wanasema Kesho tarehe 10 .History channel to air life ya Mandela .wewe hasira Zako kisa mume wangu mzungu .mume wangu Mtu Kama wewe tu ila yeye mweupe na wewe mweusi .Chuki ya nini humjui mume wangu wala hujamuona kisa mweupe ndio chuki zote hizo .Wote tumeumbwa na mungu Kama kuolewa na mzungu ndio chuki zote hizo duh pole sana
 
Last edited by a moderator:
TIMING

TIMING

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2008
Messages
21,833
Likes
162
Points
160
TIMING

TIMING

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2008
21,833 162 160
My IQ is160 .Nimesema blog ya CNN na Yahoo news .Una macho na akili kasome uone .Nimesema Tv Mimi hapo au unarukiarukia tu .Take the heat for what ?Get a life
Hahahaaaaa, haya mama umeshinda... Na kulalama pia umeshinda
 
TIMING

TIMING

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2008
Messages
21,833
Likes
162
Points
160
TIMING

TIMING

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2008
21,833 162 160
CNN ina blog na yahoo Ina blog .Type CNN blog nelson Mandela ( blog Kama blog zingine ) Watanzania full negativity kuna blog ya CNN ,FOXNEWS nk .Labda wewe unaenda website ila kuna blog ya CNN .Micropedia washaanza kuandika orbituary ya Mandela wanasema Kesho tarehe 10 .History channel to air life ya Mandela .wewe hasira Zako kisa mume wangu mzungu .mume wangu Mtu Kama wewe tu ila yeye mweupe na wewe mweusi .Chuki ya nini humjui mume wangu wala hujamuona kisa mweupe ndio chuki zote hizo .Wote tumeumbwa na mungu Kama kuolewa na mzungu ndio chuki zote hizo duh pole sana
Sasa bidada unalalama nini? Kwani blog iko moja tu? Si ucheki nyingine... Maana una lako jambo na cnn kwa muda kweli, sijui ndio directives au undundu tu

just flip the channels dogo
 
aminiusiamini

aminiusiamini

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2011
Messages
3,595
Likes
1,534
Points
280
aminiusiamini

aminiusiamini

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2011
3,595 1,534 280
hahah natalia huwa ni kibonde cha jamiiforum,
yaani ananichosha kweli huyu dada. Sijui yuko wapi huku marekani nimpe atume salamu aache ujinga
 
G

gutierez

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2010
Messages
1,254
Likes
21
Points
133
G

gutierez

JF-Expert Member
Joined May 14, 2010
1,254 21 133
Jamani it's getting bad Yaani ukienda yahoo news comment zote ni za ajabu na yahoo huwaga hawachii comment za hivyo .Cnn ndio usiseme ila Waandishi Woote wame camp nje ya hospital kuanza mashindano ya ratings .Ila USA wawache wa south Africa wa Mlilie Mandela wao Jamani .
Kupendwa na wote dunia kamwe ukae ukijua haiwezekani,wameshindwa kukubalika mitume,manabii,mashujaa hadi kwa Muumba nk kwa watu wote so usitegemee kuna mtu akakubalika kwa watu wote 100%
 
Mkereketwa_Huyu

Mkereketwa_Huyu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2011
Messages
6,634
Likes
2,316
Points
280
Mkereketwa_Huyu

Mkereketwa_Huyu

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2011
6,634 2,316 280
CNN ina blog na yahoo Ina blog .Type CNN blog nelson Mandela ( blog Kama blog zingine ) Watanzania full negativity kuna blog ya CNN ,FOXNEWS nk .Labda wewe unaenda website ila kuna blog ya CNN .Micropedia washaanza kuandika orbituary ya Mandela wanasema Kesho tarehe 10 .History channel to air life ya Mandela .wewe hasira Zako kisa mume wangu mzungu .mume wangu Mtu Kama wewe tu ila yeye mweupe na wewe mweusi .Chuki ya nini humjui mume wangu wala hujamuona kisa mweupe ndio chuki zote hizo .Wote tumeumbwa na mungu Kama kuolewa na mzungu ndio chuki zote hizo duh pole sana

Hakuna siku niliyopata kuwa na furaha kama ya leo, maana nimepokea somo toka kwa Natalia. Kwa maelezo yako machache nimekuelewa ulikuwa unamaanisha nini at first. Zile blogs zinamilikiwa na waandishi wa habari wa CNN ni kama their personal pages za ku reach out to their readers. Ziko under CNN lakini ni sub accounts za wale waandishi wao. Hongera sana. Hivi unakunywa kinywaji gani nikupe offer?
 
Last edited by a moderator:
124 Ali

124 Ali

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2010
Messages
6,894
Likes
3,513
Points
280
124 Ali

124 Ali

JF-Expert Member
Joined Apr 25, 2010
6,894 3,513 280
CNN ina blog na yahoo Ina blog .Type CNN blog nelson Mandela ( blog Kama blog zingine ) Watanzania full negativity kuna blog ya CNN ,FOXNEWS nk .Labda wewe unaenda website ila kuna blog ya CNN .Micropedia washaanza kuandika orbituary ya Mandela wanasema Kesho tarehe 10 .History channel to air life ya Mandela .wewe hasira Zako kisa mume wangu mzungu .mume wangu Mtu Kama wewe tu ila yeye mweupe na wewe mweusi .Chuki ya nini humjui mume wangu wala hujamuona kisa mweupe ndio chuki zote hizo .Wote tumeumbwa na mungu Kama kuolewa na mzungu ndio chuki zote hizo duh pole sana
Ahaa dadaake usigenerize watanzania bwana kwa ajili ya wawili watatu wanaopingana nawe! mi mbona nimekupata vizuri tu wala sina shida na thread yako!
 
Forum statistics

Threads 1,273,083
Members 490,268
Posts 30,470,607