Nimechoka sana kuwaona JK na Pinda jamani. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimechoka sana kuwaona JK na Pinda jamani.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Johnsecond, Mar 7, 2011.

 1. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #1
  Mar 7, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Yaani nimechoka sana kuwaona JK na Pinda, unajua nikiwaona kwenye TV nabadiri channel. Kwenye magazeti nasoma kwa shida nikiwaona najisikia vibaya. nisaidieni nifanyaje? ebu kama Mungu atawasaidia kumaliza kipindi chao kiishe basi na kama wataishia njiani basi wafike hapo.
   
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  Mar 7, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  nakuunga mkono man hawana mvuto teeena
   
 3. Ba Martha

  Ba Martha JF-Expert Member

  #3
  Mar 7, 2011
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Nilidhani ni mimi tu...yaani wanaboa.
   
 4. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #4
  Mar 7, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mvuto utoke wapi kwa pinda?
   
 5. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #5
  Mar 7, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  nilidhani huu ni ugonjwa wangu peke yangu, kumbe tuko wengi....!! najisikia vibaya sana kuona hata picha zao. Mungu anisamehe bure.
   
 6. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #6
  Mar 7, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Ndo ma-celebrity wetu. wapo hapo walipo. tumewaweka. wamejiweka. wapo. na tutaendelea kuwa nao kwa miaka kadhaa. tunawapenda. tunawachukia. wapo.
  Wale watu wa saikolojia wanashauri tuepuke avoidance behavior.
  Memory ya mbali kidogo ya SEC. The River Between, by Ngugi: Chege alimpeleka mwanae akasome awe karibu na wazungu ili apambane nao.
  "Keep your friend close, your enemy closer" Don Corleone, Mario Puzo's Goodfather!
   
 7. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #7
  Mar 7, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Mimi nadhani mnanitania mimi, nadhani mmeshajua kuwa nachukia si tu kuwaona mpaka mtu anaewaongelea na kuwatetea kwa uovu wao namchukia, sijui nikimbilie wapi hawa watu wameitoa amani yangu yoote kwa ujumla sina matumaini na serikali yangu, hata aongee nini naona pumba. Mungu wangu sijui nifanyeje mudamwingine huwa sitaki hata kusikiliza habari na kuangalia magazeti hata hapa jf napachukia sijui naitaji maombi! Najizuia tuu nisipate bun nashukuru Mungu huniepusha kufanya upuuuzi.
   
 8. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #8
  Mar 7, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,771
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  Tupo hata mimi nina aleji na hawa watu na nilishaacha siku nyingi.. Makamba, JK na Pinda hawa sina muda wa kuwasikiliza sababu hawana jipya.
   
 9. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #9
  Mar 7, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,068
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Halafu mbaya zaidi ndo wamekua topical mbaya...................... Wale wachungaji na masheikh wetu waombe wapotee tu, ili tuwapoteze kbs.................
   
 10. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #10
  Mar 7, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Hapana hawa wanfurahisha, mmoja analia, mmoja ancheka. Balanced:wink2:
   
 11. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #11
  Mar 7, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Nafurahi sana nikiwaona mnavyopata taabu, JK atakuwepo kwa kuwa watu wanampenda ndio maana wakamchagua kuwa rais kwa kishindo( 61% kwa zenu Mziray,Lipumba, Spunda, Kuga, Padre 20%)...itawauma sana na kwangu furaha ni kuwaona mnanuna.
   
 12. Manumbu

  Manumbu JF-Expert Member

  #12
  Mar 7, 2011
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 1,751
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Asante mwanzia mada. nadhani nami chuki yangu niitoe kwa kuunga mkono hoja. siwapendi sitaki kuwaona, kuwasikia na Mungu atujalie awatoe hata kesho....!
   
Loading...