Nimechoka, Nataka kuchukua maamuzi magumu

Habarini ndugu, maisha yana changamoto sana kuna wakati akili inachoka na kujiuliza ni lini hizi changamoto zitaisha.

Naandika hii sms huku moyo wangu ukivuja damu na Machozi yakinilenga.

Sioni pa kushika I feel disappointed, kwa anayeweza naomba anisaidie ili niweze kusonga mbele.
Utasaidiwa vipi bila kusema hizo changamoto..... pia maisha yapo hivyo full changamoto ........jaribu kutembelea hospital uone changamoto na watu bado wanapambana simama na pambana na changamoto hizo
 
mkuu kwanza unachangamoto gani unazopitia na je unaujuzi gani? rasmi au usio rasmi? Pia unapatikana wapi? Hivyo vitu vya muhimu ili mtu ajue anakusaidiaje maana naamini wengi watapitia
Mimi ni graduate napatikana kilimanjaro, Nilikuwa nafanya biashara ya kutoa samaki Mwanza - Kilimanjaro changamoto ni kwamba yule ambaye nilikuwa namtumia hela ameamua kutoweka na pesa, Napiga simu yake bila mafanikio hapatikani for 5weeks now
 
Msichukulie poa, tumsaidie mwana ana hali mbaya.

Msaada: Je, kuna magari ya kusafirisha maiti kutoka Dar - Mwanza


View attachment 1604393View attachment 1604391View attachment 1604392View attachment 1604394
Screenshot_20201018-223440.jpg
 
Ukweli vijana tuna changamoto kubwa, nikiwa nasoma nyuzi kama hzi najipa moyo wa kuzidi kupambana zaidi japo mambo n magumu sana sana.
Nakushauri kijana mwenzangu husifikirie kukatisha maisha yako, wote tunapitia changamoto na inawezekana wengne wanazo kubwa zaidi yako.
Jifunze kuushinda uoga, husiogope. Haijalishi unapitia kitu gan husiogope kiza kinapozidi mapambazuko yapo karbu kuja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom