nimechoka na mpango wa shuka tukaze nifanyeje?

Uda

JF-Expert Member
Nov 27, 2010
811
624
mwandani wangu amenunua kitanda hivi karibuni,tatizo lake wakati wa "shughuli" inatubidi kukatiza mara kwa mara kufanya marekebisho(kukikaza tusije anguka).nikimwambia anunue kingine naona anapotezea na kutoa alternative ya kulala chini.nikimwambia amuite fundi afanye marekebisho anasema amesahau,sijui mwezangu huyu anafurahia zaidi tukiwa chini?
naomba ushauri wenu wana JFnifanyeje.
 
Kama fedha za kununulia kitanda huna,vumilia tu.huyo jamaa yako ni mwarabu nini?nshawai kusikia warabu huwa hawapendi vitanda
 
Shusha Gidoro shini, weka bembeni yule mtanda napigya klelee.....jirani habana sikia wewe nalia tamu OK ?
 
hahahahahah..hii kali,kama kweli uko siriazz duh basi balaa...pole
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom