Nimechoka na King'amuzi

kambi tata

Senior Member
Oct 13, 2012
114
18
Jamani nimechoka na King'amuzi ch Star times na sasa nimekitupa!Je King'amuzi kipi ninunue ambacho hakitasumbua?Ahsanteni

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kipi kimekuchosha katika star times?
 
Mkuu inakata kata sana picha haionekani ila unasikia sauti nimefunga mpaka antena ya nje hamna kitu!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mkuu inakata kata sana picha haionekani ila unasikia sauti nimefunga mpaka antena ya nje hamna kitu!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
haya ndo yanayonikuta hata mimi.

Chochote utakachoshauriwa kitanifaa hata mimi.
 
Hicho kibovu ndugu yangu me nasikitika kwa star tv kujitoa .
 
Jamani nimechoka na King'amuzi ch Star times na sasa nimekitupa!Je King'amuzi kipi ninunue ambacho hakitasumbua?Ahsanteni

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

NIPE MKWANJA NIKUUZIE DISH LA 90cm upate TBC1,ITV,EATV,STAR TV, SETANTA AFRICA, Ebru Africa, silverbird, muvi tv Africa,COLOR,CNN,ALJAZEERA,K24,LOVEWORLD, CCTV,etc etc etc. MUHIMU: NI lazima Uwe na MPEG4 RECEIVER.DISH BEI POA TU,40,000TSH. Fixed Price. No Discount.
 
Mkuu Mgjd Receiver bei gani?Niambie kama vipi Alhamisi nikutafute

Kitakuwa na shida nenda wapelekee ofsn kwao.hata mm kilinisumbua hvyo nikawapelekea wakasema kuna shida ya tuner. Sasa kipo fresh sana.
Mkuu inakata kata sana picha haionekani ila unasikia sauti nimefunga mpaka antena ya nje hamna kitu!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mkuu Mgjd Receiver bei gani?Niambie kama vipi Alhamisi nikutafute

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Receiver za Mpeg4 zipo za brands tofauti tofauti,KWA GENUINE STRONG SRT RECEIVERS NI KUANZIA LAKI TATU,hzo ndizo nazofahamu bei zake. Kwa zingine jaribu kutembelea madukani kaka.
 
NIPE MKWANJA NIKUUZIE DISH LA 90cm upate TBC1,ITV,EATV,STAR TV, SETANTA AFRICA, Ebru Africa, silverbird, muvi tv Africa,COLOR,CNN,ALJAZEERA,K24,LOVEWORLD, CCTV,etc etc etc. MUHIMU: NI lazima Uwe na MPEG4 RECEIVER.DISH BEI POA TU,40,000TSH. Fixed Price. No Discount.

Mkuu hizo chanel naweza kuzipata kupitia dish la ft6 nifunge wapi KU nina ARISAT MPEG4 HD, msaada wako kaka.
 
Unaweza kupata iwapo utakubali kuhama kutoka mwelekeo uliofunga dish lako kwa sasa,kwani chnls zote hz unazipata kwa Ku katika nyuzi 36 East,upande wanaoelekezea DSTV. Itabidi dish lako ulizungushe UNTCLOCKWISE kisha ulinyanyue litazame juu usawa wa kifua chako. Ni rahs sana kuipata hii satellite. Lnb funga ktk bomba la mbele yako kwa chini bila kukaribia kisahani cha C band. Ukiingza freq hizi 12275H11200,12322H23437,Jariku kutembeza Lnb yako mpaka igonge kijani,ukipata signal kuanzia 60 na zaidi ni imara. Kisha fanya Blind Scan kwa matokeo zaidi.
 
Ubarikiwe sana.
 
Je nikiwa na decoder mpg2 sitapata hizo channeli. Nilikuwa nimeseti nss12 lakini k24, Kbc na family sasa hazitoi picha wala sauti
 
NIPE MKWANJA NIKUUZIE DISH LA 90cm upate TBC1,ITV,EATV,STAR TV, SETANTA AFRICA, Ebru Africa, silverbird, muvi tv Africa,COLOR,CNN,ALJAZEERA,K24,LOVEWORLD, CCTV,etc etc etc. MUHIMU: NI lazima Uwe na MPEG4 RECEIVER.DISH BEI POA TU,40,000TSH. Fixed Price. No Discount.
vp unayo ya kutosha uniuzie na mm 1?
 
Jamani nimechoka na King'amuzi ch Star times na sasa nimekitupa!Je King'amuzi kipi ninunue ambacho hakitasumbua?Ahsanteni

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
kambi tata

Cha muhimu cha kwanza lazima ujue unataka nini?
Mimi kwangu nimeshindwa kukitupa kwa sababu familia inataka kuangali tamthilia za kifilipino na Cartoon(watoto) na sijapata mbadala wake.
Mimi mwenyewe hobie yangu ni Soka na International news( PressTv, Aljazeera, CCTV, France, NHK, CNN, BBC, SKY) kwahiyo nilinunua Humax decorder ya kadi mbili (Aljazeera na Abudhabi) starehe yangu ikawa imekamilika.

So chamuhimu jua kwanza unataka nini?
 
Last edited by a moderator:
hyo decorda ya humax inauzwa bei gani na inapatkana wapi?
Na hzo kadi za aljazera na abu dhabi zinalipiwa kwa mwezi?
 
Jamani nimechoka na King'amuzi ch Star times na sasa nimekitupa!Je King'amuzi kipi ninunue ambacho hakitasumbua?Ahsanteni

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Samahani mkuu, unaweza kunielekeza ulipokitupa nikakiokote? Maana niko katika mpango wa kununua lakini ndio hela bado haijatosha.
 
Back
Top Bottom