Nimechoka na hizi drama za Tanzania!

Eeka Mangi

JF-Expert Member
Jul 27, 2008
3,173
481
Jamani hizi drama za Tanzania zinanichosha!
1. Mgomo wa madaktari-
2. Tanesco
3. Urais 2015
4. Rushwa
5. Tume za chunguzi mbalimbali
6. Mgogoro Wa serikali na walimu
7. Kuzama kwa meli
Nk! Nk! Nk!
Hivi hawa wasanii wetu watamalizia lini hii michezo yao! Kila siku hawamalizii kucheza hizi episode zao! Bunge usanii mtupu! serikali usanii! Wafanyakazi usanii! Wakulima usanii! Kila mtu msanii!
 
Tunangojea season 2 Mgogoro wa serekali na walimu! Stay tuned for another interesting episode!
 
Back
Top Bottom