Nimechoka na hii tabia ,anatumia mtoto kama fimbo ya kunichapia

Mkuu natamani sana kufunga nae ndoa but nna changamoto lukuki,moja uchumi wangu hauko vizuri na mwenzangu anataka nipeleke mahari ndefu kwao,so sina ajira ya uhakika ya kuingiza kipato cha kupata milioni ya mahari .

Dini ni kikwazo kingine,hataki kubadili ingawa mi nimeamua mbeleni nikipata hiyo mahari anayotaka nipeleke kwao ntabadili tu Dini

Nikiwa na wazo niende nikajitambulishe kwao rasmi kwa hiki kidogo ninachopata naona mwenzangu ushirikiano ni zero

So kuna masuala ukiyaangalia kiundani utagundua sina hatia ila kutokana na malezi aliyopata mwenzangu kila kitu ana puuza na kuleta dharau juu
nadhani kabla hujaingia ndoani na huyu bibie tafakari sana! isije kuonekana ww unalazimisha penzi, kumbe yy hakuhitaji. hapo ukisha muoa, ni full vitimbi nyumbani.
lakini vilevile, kabla ya maamuzi yeyote; ongea naye kwa kina ili kama ndoa hakuna muachane kwa amani mlee mwanenu vizuri!

Mungu yu mwema atakuvusha!
 
Kuzaa mtu isiwe sababu ya wewe kujikunja mpaka ukalipe mahari na kubadili dini. Kama maelewano yenu si mazuri unafikiri mtoto atakua na raha kwenye nyumba isiyo na furaha?
Ni kheri muanze kuandaa utaratibu wa kumlea mtoto wenu mkiwa na amani japo hamuishi pamoja
tatizo id fake, ningekwisha leta proposal kwenu kitambo.

u seem 2b my match!
 
Unataka haki sawa?? Miaka 6 ni mpenzi tu utamuoa lini?
Huyo ni mkewe kwa mujibu wa sheria za nchi.
Unajua km ukikaa na mwanamke miezi 6 huyo tayari mkeo?
Ukimpachika binti wa watu ujauzito huyo tayari ni mkeo.
Ndiyo maana waisalamu wakikufuma na binti yao siku hiyo hiyo wanakuodhesha.
Watu wanafikiri kuoana mpaka mfanye harusi mle mcheze n.k
 
Salaam wanaMMU

Huyu mwanamke anataka kunifanya mi bwege,miaka ya nyuma mawasiliano yetu yalikua mazuri haipiti Siku au masaa kadhaa pasipo kuwasiliana

Baada ya kuzaa nae mtoto na yeye kupata kazi taratibuuu mawasiliano yakaanza kupungua

Hajui kupiga simu tena

Hajui kutuma meseji tena

Nisipomtafuta basi imetoka hiyo hawezi kunitafuta

Nikiendelea kukaa kimya anaanza kulalamika nashindwa kumpigia simu kujua hali ya mtoto

Nami namuuliza "kwani wewe huna haki ya kunipigia simu au kunitumia meseji kunipa maendeleo ya mtoto hadi nianze Mimi kufanya hivyo"

Sometimes/Mara nyingi nikimpigia simu kupokea kwa shida,au atampa mtoto aongee yeye hataki kuongea

In short nna mawasiliano mabovu sana na huyu mzazi mwenzangu/mchumba tupo in relation 6 years ,nimejaribu kuonesha umuhimu wa mawasiliano mazuri baina yetu ,but mwenzangu haoneashi kujali wala kubadilika na naona kaona hakuna umuhimu wa kuwasiliana na Mimi,labda tu pale anapokua na shida zake

Nimechoka kufanywa mtumwa wa mawasiliano na huyu mwanamke

Nipeni mbinu nini nifanye ili ajue mawasiliano ni kiungo muhimu katika mapenzi

Am tired

Sigara Kali
Tumia ooomb kuchapia
 
Naombaanambayake tudinichetuu tunaruhusuu
 
HUJAONA TU TATIZO?

maybe hujaliona!WACHA NIKUSAIDIE!
ISSUE SIO DINI!
UKWELI NI KUWA KASHAFANYA MAAMUZI!
kuwa hakuwa sahihihi hata kuzaa na wewe!
USIJILAZIMISHE KUFANYA KITU AMBACHO HAKITABADILI THAMANI YAKO MBELE YA UNAYEDHANI ANAHITAJI KIBADILIKE ILI AKUONE UNA THAMANI!
NEVER!
KATAA KABISA!
sawa una motto nae!
FINE!
fanya mambo mengine!
HILI LIMEKUSHINDA!
wala don't go extra miles kuprove ME WRONG!
muache huyo mwanamke!
KUNA SIKU UTANIELEWA!
umenena vyema mkuu, kinatumika kigezo cha mahari kumkataa maana kile cha dini anaelekea kukishinda!

hapa hakuna ndoa bali maigizo ya kihindi. Achue mwanae alee maisha yaendelee!
 
Mimi nayapitia hayo, nilichoamua ni kuacha tu as far as nimetengeneza msingi wa kumhudumia mtoto na najua hana uwezo wa kumsomesha so nitamchukua kumpeleka shule ninayotaka, akiendelea kumkatalia nilimwambia nimempa zawadi,mtoto atakuja na nitamhudumia vizuri zaidi tu. Sema wew naona kama pia uwezo wako kiuchumi ni mdogo na unampenda huyo mzazi mwenzio so jitahidi kutunza

impelle ekununa
 
Sasa kama una ongea na mtoto shida nini?au mbunye! Napiga mimi saivi we tulia
 
Back
Top Bottom