Nimechoka na hii tabia ,anatumia mtoto kama fimbo ya kunichapia

Kuzaliwa na mtu is iwe sababu ya wewe kujikunja mpaka ukalipe mahari na kubadili dini. Kama maelewano yenu si mazuri unafikiri mtoto atakua na raha kwenye nyumba isiyo na furaha?
Mimi kheri muanze kuandaa utaratibu wa kumlea mtoto wenu mkiwa na amani japo hamuishi pamoja
Good advice

Mucho gracias
 
Mkuu natamani sana kufunga nae ndoa but nna changamoto lukuki,moja uchumi wangu hauko vizuri na mwenzangu anataka nipeleke mahari ndefu kwao,so sina ajira ya uhakika ya kuingiza kipato cha kupata milioni ya mahari .

Dini ni kikwazo kingine,hataki kubadili ingawa mi nimeamua mbeleni nikipata hiyo mahari anayotaka nipeleke kwao ntabadili tu Dini

Nikiwa na wazo niende nikajitambulishe kwao rasmi kwa hiki kidogo ninachopata naona mwenzangu ushirikiano ni zero

So kuna masuala ukiyaangalia kiundani utagundua sina hatia ila kutokana na malezi aliyopata mwenzangu kila kitu ana puuza na kuleta dharau juu
basi hakupendi huyo angalia mbele harak
 
Suala la kumegwa amegwe tu ,coz hata Mimi namega ,ninachowaza saa hivi ni kudeal na mwanangu yeye aendelee na mambo yake
Chukua mwanao ,mpe ni mkubwa wako ,au Sista wako huduma zote peleka huko au kaa nae mwenyewe,ili yy aendelee kumegwa na wewe umege,kubwa mtoto asome
 
Ntafuata ushauri wako ,ni kweli bora nikae kimya ntazoea na kumsahau
Mapenzi yanauma lkn nakuomba ujikaze. Muda huponya
Weka nguvu kwa watoto wako. Utachopata watumie watoto. Ukipiga simu omba uongee na mwanao ukimaliza tulia.
Mwanamke akikuzidi kipato huwa wanadharau sana zaidi ya sana kwahiyo usihangaike na mwanamke. Ukitaka mtoto wa 3 mpige sound. Weka mimba. Ukishamaliza weka nguvu kwa watoto.
Japo mke haeleweki lkn nimefurahi watoto wako umewapata kwa mwanamke mmoja
 
Salaam wanaMMU

Huyu mwanamke anataka kunifanya mi bwege,miaka ya nyuma mawasiliano yetu yalikua mazuri haipiti Siku au masaa kadhaa pasipo kuwasiliana

Baada ya kuzaa nae mtoto na yeye kupata kazi taratibuuu mawasiliano yakaanza kupungua

Hajui kupiga simu tena

Hajui kutuma meseji tena

Nisipomtafuta basi imetoka hiyo hawezi kunitafuta

Nikiendelea kukaa kimya anaanza kulalamika nashindwa kumpigia simu kujua hali ya mtoto

Nami namuuliza "kwani wewe huna haki ya kunipigia simu au kunitumia meseji kunipa maendeleo ya mtoto hadi nianze Mimi kufanya hivyo"

Sometimes/Mara nyingi nikimpigia simu kupokea kwa shida,au atampa mtoto aongee yeye hataki kuongea

In short nna mawasiliano mabovu sana na huyu mzazi mwenzangu/mchumba tupo in relation 6 years ,nimejaribu kuonesha umuhimu wa mawasiliano mazuri baina yetu ,but mwenzangu haoneashi kujali wala kubadilika na naona kaona hakuna umuhimu wa kuwasiliana na Mimi,labda tu pale anapokua na shida zake

Nimechoka kufanywa mtumwa wa mawasiliano na huyu mwanamke

Nipeni mbinu nini nifanye ili ajue mawasiliano ni kiungo muhimu katika mapenzi

Am tired

Sigara Kali
Pole Sana'a!!
Naweza kukusaidia
 
Mapenzi yanauma lkn nakuomba ujikaze. Muda huponya
Weka nguvu kwa watoto wako. Utachopata watumie watoto. Ukipiga simu omba uongee na mwanao ukimaliza tulia.
Mwanamke akikuzidi kipato huwa wanadharau sana zaidi ya sana kwahiyo usihangaike na mwanamke. Ukitaka mtoto wa 3 mpige sound. Weka mimba. Ukishamaliza weka nguvu kwa watoto.
Japo mke haeleweki lkn nimefurahi watoto wako umewapata kwa mwanamke mmoja
Asante sana mkuu kwa ushauri nzuri
 
Kiukweli kadri Siku zinavyokwenda mbele ananitoka moyoni,nawaza hiyo mahari bora nifungue biashara tu hela ipatikane imhudumie tu mwanangu
Jambo lamaana kuna vitu vingine kukwama Mungu anakuwa anakwepusha navyo ila sie binadamu huwa wagumu tunaangalia ya mwilini, omba Mungu utapata jibu sahihi
 
Back
Top Bottom