Njema kabisa
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 699
- 238
Jamani TCRA mko wapi yani natumia mtandao wa TIGO yani meseji yanajirudia mara kumi kumi kwa muda tofauti tofauti yani msg 1 inajirudia mara kibao had usumbufu jaman wenye mtandao hamuoni haya matatizoo?
Hamjui mnaweza kuvunja ndoa za watu n.k? Ashum mchepuko umekutumia meseji ukaipata ukaisoma ukaifuta eti umelala usiku ile ile meseji inaingia tena na sio mara moja kama mara kumi hivi daah!
Jamani fanyeni service haya mambo yaishe basi hapa meseji za tangu jana zinaingia tu hadi mda huu na jana nilikwisha zisoma nadhani ni mpya kumbe zimejirudia.