Nimechoka kuwa single nataka kuingia kwenye mapenzi

Nimekuwa Single muda mrefu aisee kuwa Single kwa mtu mzima basi tu ila unaona kuna kitu umemisi bored, stressed...ukiwa mtu mzima sense of belonging muhimu.

Japo mambo yaja settle...nataka niingie kwa mtoto mmoja wa Stationary huyu manzi yupo Humble sana ndicho kilichonivuta mtu fulani kama kweli
We TAFUTA HELA UONE ni DEMU gani atakukataaaa..

Utapata romance hadi utakimbia.

#YNWA
 
Vzr ila kuliko kuwaka tamaa Ni heri uoe MUNGU anapendezwa na wewe ukiwa na mwanamke wako mkaanzishe makazi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom