lady mmarangu
JF-Expert Member
- Dec 7, 2015
- 306
- 164
Tai jike ni hivi epuka kula chakula cha kushiba sana,jifunze kulala na tumbo siyo na mgongo, chukua kitunguu sahum uweke ndani ya mto na badilisha huo mto unao lalia, na je huko ndani kwako unakaa na nani