Nimechoka kula BAN kwenye siasa

Mapolomoko

JF-Expert Member
Feb 16, 2013
1,751
417
nimekimbia jukwaa la siasa ni hatari, huko hapafai, kwamtu anaetaka kuwa hewani mdaote JF, hivyo mnikaribishe kwaupole, hasa (chuchuchu, tototo) wa humu,huenda wakapata bahati ya kupolomoshewa mapolomoko. asanteni sana.
 
Kama unakula ban kila siku lazma uchoke.....
jitahidi kubadilisha mlo kula ugali, wali ndizi n.k mambo yawe safi.....
Karibu chit chat....
 
Sijui mimi na Mods ni upande upi umejirekebisha as kitambo sijawa Banned!
 
oh... karibu, tatizo ukijadili si-hasa unatakiwa kuwa mpole, lakini wewe unataka kuwakomesha sijui wewe piposi powa au wagwanda au mrebilali.... teh teh teh! usikasirike utani...
 
Mie mwenyewe nimetoka kwenye ban niliyosababishiwa na magamba pamoja na ndugu zao WALIBERALI CUF
 
Tafuta nyuma ndogo yaani mapolomoko 2 iwe kazi yake nikudeal na wale wajinga kule siasa mimi siendi tena kule within 4hrs nilipata ban ya 1week,kha yaani kuna watu wanakuchokoza yaani utaghadhibika tu haa
 
oh... karibu, tatizo ukijadili si-hasa unatakiwa kuwa mpole, lakini wewe unataka kuwakomesha sijui wewe piposi powa au wagwanda au mrebilali.... teh teh teh! usikasirike utani...

Jeshi la ukombozi tokomeza mafisadi
 
Tafuta nyuma ndogo yaani mapolomoko 2 iwe kazi yake nikudeal na wale wajinga kule siasa mimi siendi tena kule within 4hrs nilipata ban ya 1week,kha yaani kuna watu wanakuchokoza yaani utaghadhibika tu haa

Nakupa kaziyo
 
leo kwenye daladala nusura konda apigwe baada ya kumuita mliberali abiria alokua analeta ubishi kutoa nauli.eti mpaka wakat w kushuka.....palitaka kuwaka moto aiseee
 
Back
Top Bottom