Nimechoka kuitwa kilaza nataka kuwa great thinker na mimi

Mkuu bila shaka ulimanisha Thinker, Anyway kila mtu ana upeo wa juu na field aliyopo au anae ipenda ila linapokuja swala la kuwa na uwezo wa kufikiri au kujua mambo mengi at time hapa ndio linapokuja swala la kusoma na kutamani kujua mambo mengi, Kusoma kutakuweka pazuri sana mkuu usikae idle muda ukiwa free lamba chapter mbili endelea na mishe zako uta gain something differ, Jaribu mambo mengi upate exposure usijiweke mipaka ya kufanya jambo fulani kwa Ajili ya hadhi au Elimu yako, Jichanganye na jitahdi kufanana status na watu unaokuwa nao muda fulani mfano ukiwa bar act kama mlevi ukiwa kanisani mtumishi safi ukiwa kijiweni Muhuni utajifunza mengi yenye kutanua akili yako.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom