white hat
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 3,323
- 2,487
aiseethe great sinker mkuu yani MTU anyefikiria sana
aiseethe great sinker mkuu yani MTU anyefikiria sana
Tusimshambulie sana kiongozi ..... "lugha ya malkia" ni tata .... ndo mana wengi tu humu "social media" ni watumiaji wabaya wa hii lugha japo ni wasomi na wengine wenye majina pia .....Huenda anajua kutofautusha thinker na sinker, ni ili kuonyesha yeye ni kilaza wa nguvu asaidiwe. Unajua hata kuandika inaonyesha ukilaza wa mtu, kabla ya kutuma inabidi uhakiki ulichoandika. Hata koma, nukta, mabano nk. yanamata . Basi anaomba namna ya kuwa great thinker. Ni kipaji cha kuzaliwa na cha kuchimba vitabuni
Kweli kabisa jina alosto anataka kuwa sinker and not thinker. Kazi kweli kweliKWELI JINA HUUMBA WEWE NI KILAZA WA UKWELI! SINKER Ndiye nani?
Anaemfikiria sana Joanah??!the great sinker mkuu yani MTU anyefikiria sana
Pole sana watu wote wa mwanzo, hakuna hata mtu mmoja aliyekupa mwongozo wa great thinker, zaidi ya kukukosoa tu. Huu ni mwongozo mfupi jinsi ya kuwa great lakini yapo mengi sana mfano background yako na experience yako katika maisha. 1. Don't take anything with granted. 2. Usiwe mtu wa kupenda sifa, maana usifia au kusifiwa. 3. Control your emotions. 4. Listen first before you answer or talk. (Usipende kupanyuka). 5. Use Why, Who, What, Where, When, WhatNataka kuwa mjenga hoja mashuhuri humu nipite njia zipi
Kwa kuanza jiulize kwa nini watu wanapenda sana kukosoa kuliko kuelekeza? Kama walivyokukosoa ulipokosea kuandika Thinker na wewe uliandika sinker.Pole sana watu wote wa mwanzo, hakuna hata mtu mmoja aliyekupa mwongozo wa great thinker, zaidi ya kukukosoa tu. Huu ni mwongozo mfupi jinsi ya kuwa great lakini yapo mengi sana mfano background yako na experience yako katika maisha. 1. Don't take anything with granted. 2. Usiwe mtu wa kupenda sifa, maana usifia au kusifiwa. 3. Control your emotions. 4. Listen first before you answer or talk. (Usipende kupanyuka). 5. Use Why, Who, What, Where, When, What
, Who, Why and How in every situation. 6. Usiwe mwepesi wa kupokea kiraisi taarifa yoyote ambayo huifahamu. Hayo ni machache kwa kuanzia ni kama Introduction.