Nimechoka kuitwa kilaza nataka kuwa great thinker na mimi


Alosto

Alosto

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Messages
367
Likes
340
Points
80
Alosto

Alosto

JF-Expert Member
Joined Oct 3, 2017
367 340 80
Nataka kuwa mjenga hoja mashuhuri humu nipite njia zipi
 
Justine_Dannie

Justine_Dannie

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2014
Messages
1,622
Likes
1,008
Points
280
Justine_Dannie

Justine_Dannie

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2014
1,622 1,008 280
Kua sinker huwezi ndugu.....Asante kwa kushiriki
 
busy bees

busy bees

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2016
Messages
2,263
Likes
1,312
Points
280
Age
40
busy bees

busy bees

JF-Expert Member
Joined Aug 26, 2016
2,263 1,312 280
Nataka kuwa mjenga hoja mashuhuri humu nipite njia zipi
Wazo zuri sana but eleweka zaid kwa kubadiri GREAT SINKER na isomeke GREAT THINKER ..... itapendeza zaidi
 
Alosto

Alosto

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Messages
367
Likes
340
Points
80
Alosto

Alosto

JF-Expert Member
Joined Oct 3, 2017
367 340 80
Kasome "law of floatation and archmedes principle"
Archimedes principle states that "When a body is totally or partially immersed in liquid it experiences an upthrust which is equal to the weight displaced"

Law of floatation
"a floating body displaces it's own weight of fluid in which it floats"
 
YALE

YALE

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2017
Messages
315
Likes
355
Points
80
YALE

YALE

JF-Expert Member
Joined Apr 20, 2017
315 355 80
Mkuu bila shaka ulimanisha Thinker, Anyway kila mtu ana upeo wa juu na field aliyopo au anae ipenda ila linapokuja swala la kuwa na uwezo wa kufikiri au kujua mambo mengi at time hapa ndio linapokuja swala la kusoma na kutamani kujua mambo mengi, Kusoma kutakuweka pazuri sana mkuu usikae idle muda ukiwa free lamba chapter mbili endelea na mishe zako uta gain something differ, Jaribu mambo mengi upate exposure usijiweke mipaka ya kufanya jambo fulani kwa Ajili ya hadhi au Elimu yako, Jichanganye na jitahdi kufanana status na watu unaokuwa nao muda fulani mfano ukiwa bar act kama mlevi ukiwa kanisani mtumishi safi ukiwa kijiweni Muhuni utajifunza mengi yenye kutanua akili yako.
 
M

Msukumakizazi

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2017
Messages
1,622
Likes
1,028
Points
280
Age
41
M

Msukumakizazi

JF-Expert Member
Joined Jan 13, 2017
1,622 1,028 280
Na ukifanya mchezo uta "sink" kweli!!!
 
chaliifrancisco

chaliifrancisco

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2015
Messages
7,633
Likes
13,754
Points
280
Age
24
chaliifrancisco

chaliifrancisco

JF-Expert Member
Joined Jan 17, 2015
7,633 13,754 280
Mi nadhani usiwe sinker kuwa diver

Deep Diver
 

Forum statistics

Threads 1,236,089
Members 474,988
Posts 29,246,210