Nimechoka kudanganywa na vijana natafuta jibaba

Nimekuwa na vijana wawili kwa wakati tofauti..........ila wote utulivu hamna, heri mtu mzima atanliwaza kuliko hwa vicheche

unakosea, huo umri uliotaja ni watu na ndoa zao,ukimpata mtu ambaye single katika umri huo ujue ni kicheche wa kutupwa....na suala la kusettle halipo mawazoni mwake....
 
Endelea tu unachokitafuta umekaribia kukipata! Na usije kulalamika humu.


Badala ya kunishauri au kunisaidia namna ya kupata mtu atakayenifaa unanilaani?? haya bwana, ila kumbuka binadamu tunapaswa kutumia viungo vyetu kuwabariki watu na si kuwalaani
 
kibabu cha miaka 40 inahusu...mie tu na uzee huu na watoto wawili juu kibabu cha miaka 40 sikitaki!!!
 
.......Hivyo miaka 40-50 ni kibabu/mzee? Usikute hata wengi mnaochangia humu ndio age yenu hiyo!! Mdada wewe ukimpata mwanaume yeyote anakujali na kupenda just go ahead......age is just a number.​
 
Watu bana vijana wawili tu unalalama mbona sisi tulishakua na mabinti watano lakini hatuamini kama mabint wote wapo hivyo?
 
.......Hivyo miaka 40-50 ni kibabu/mzee? Usikute hata wengi mnaochangia humu ndio age yenu hiyo!! Mdada wewe ukimpata mwanaume yeyote anakujali na kupenda just go ahead......age is just a number.​

Heheheee umejuaje? Mi niko kwenye upper 50's...
 

Swala la tabia ni subjective....kuna baadhi ya mambo ukiyafanya kwa watu fulani ni mazuri lakini kwa wengine ni mabaya.......

lakini all i can say mimi ni binti ambaye Mungu amenipatia utashi wa kuishi kulingana na yale mambo muhimu ambayo mtu yeyote anayeni judge atakubali kwamba nina maadili au tabia njema
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom