Niccolo Machiavelli
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,881
- 3,636
ITV mnakera aisee....kila siku habari JPM au Shein...aisee nimechoka....ntaanza kujisomea habari JF saa mbili nahamia TV-E kuchek Top 30 !!
Haya kaogeshe mtoto wa Joyce Mukya au kawe houseboy wa Wema SepetuITV mnakera aisee....kila siku habari JPM au Shein...aisee nimechoka....ntaanza kujisomea habari JF saa mbili nahamia TV-E kuchek Top 30 !!
UNaonaje mkuu uandae tv yako uwe unasoma habari unazozitaka tu?ITV mnakera aisee....kila siku habari JPM au Shein...aisee nimechoka....ntaanza kujisomea habari JF saa mbili nahamia TV-E kuchek Top 30 !!
tv yako halafu unapangiwa ,aaah bora kupiga mziki kutwa kucha kama E -TVHabari zao si zilikuwa za migogoro ya wakulima na wafigaji tu magu aliwazuia wataandika nini
Azam two, ndio habari za uhakikAUsipoangalia ITV utaangalia tv gani, utaangalia tv inayotangaza uongo ya TBC?