Nimechoka Habari ya ITV

Niccolo Machiavelli

JF-Expert Member
Feb 7, 2017
1,881
3,636
ITV mnakera aisee....kila siku habari JPM au Shein...aisee nimechoka....ntaanza kujisomea habari JF saa mbili nahamia TV-E kuchek Top 30 !!
 
Mimi natafuta wale watundu wa kuongeza chanel kwenye decoda nijikite zaidi ktk muvie, taarifa ya habari ni Azam two.
 
Mengi anajistukia sana kwa namna alivyokuwa wakati wa Jk japo Jk aliamua kumpuuzia!


Awamu ya Nne ITV ilikuwa Kama TV rasmi ya Chadema kwa hiyo anajaribu kufukia Mashimo ya 2005-2015 kwa kujipendekeza kupita kiasi

Wakati wa Jk ilikuwa kawaida sana kwa Huyu Mzee kuitisha Press conference kumpiga Vijembe Jakaya!

Aliwahi kuita Vyombo vya Habari na kudai kapata Taarifa za Uhakika kuwa Ikulu imepanga kumuua Japo Jion hiyo baada ya Conference anaonekana Ikulu kwny Dhifa ya Kitaifa akigonga Cheers na Jk!

Salva Rweyemamu alipoulizwa akajibu kwa kifupi Mtu anaehisi anataka kuuawa anaweza kuitikia Mwaliko wa Wauaji na akashiriki Mpaka kwny Msosi?

Siku hizi kaaufyata TV yake imekuwa Kama Radio Uhuru kumsifu Rais na Serikal yake!
 
Back
Top Bottom