Nimechanganyikwa naomba mawazo yenu wanajf wenzangu.

nawaunga mkono wote waliotoa maoni yao,
wasiwasi wangu ni kwa SAWEBOY anaficha nn wkt hili jukwaa letu ni la uwazi na ukweli.
Awe mwazi ili wengine nao wafaidike.Mnunu usikate tamaa bado una nafasi nzuri ya kusoma
nakupa mfano wa Hosea wa PCCB alikuwa karani wa mahakama
then akajiendeleza akawa hakimu ngazi ya mwanzo ,
hakimu mkazi na usisahau ni dr kabisa.songa mbele.
Nakupongeza kwa ujasiri wako wa kuweka wazi malengo yako yatatimia
na ukweli wako umekuweka huru.
 
sasa wewe wa pm unataka malipo ya ziada?
Kwanini usiwe muwazi kwa kuweka mawazo yako hapa tuyapime?

Unataka uandikiwe pm ilimawazoyako yaonekane yameenda shule kumbe ukiyaweka wazi yatakua ya kitoto.

Usitumie advantage ya watu wenye shida kuwalisha mawazo ambayo hayajachujwa.

asante mkuu.
 
1.maisha siku zote yana changamoto.
2.changamoto zisikukatishe tamaa bali kukupa ari ya kusonga mbele.
3.nenda chuo cha uhasibu kurasini,mwone mkuu wa idara ya procurement mama mavis ni mtu mzima.utatoka unachekelea.

ASANTE ASANTE asante sana,
wiki ijayo nitakwenda kumwona asante sana,
ni lazima nikamwone,
asante sana kwa mawazo yako,
shukurani. Ubarikiwe sana.
 
nawaunga mkono wote waliotoa maoni yao,
wasiwasi wangu ni kwa SAWEBOY anaficha nn wkt hili jukwaa letu ni la uwazi na ukweli.
Awe mwazi ili wengine nao wafaidike.Mnunu usikate tamaa bado una nafasi nzuri ya kusoma
nakupa mfano wa Hosea wa PCCB alikuwa karani wa mahakama
then akajiendeleza akawa hakimu ngazi ya mwanzo ,
hakimu mkazi na usisahau ni dr kabisa.songa mbele.
Nakupongeza kwa ujasiri wako wa kuweka wazi malengo yako yatatimia
na ukweli wako umekuweka huru.

ASANTE SANA KWA KUNITIA MOYO,
nakushukuru sana naamini siku moja ndoto zangu zitatimia,
japo bado nina safari ndefu lakin naamini nitafika.
Asante sana kwa mfano unaoinua zaidi ari ya kujiendeleza,
shukurani sana.
 
Mbona bado uko na nafasi tele? Kufeli masomo, sio kufeli maisha. Buguruni mwisho kuna Chuo pale karibu na kituo cha kwenda Muhimbili. Uliza hapo utapata maelezo mazuri.
 
Pole sana ndugu
usikate tamaa yote maisha
wasiliana na saweboy akupatie njia mbadala
pamoja na michango mingine ya wadau
Mungu awe pamoja nawe
ninaamini siku moja utafika pale unapohitaji kuwa

ASANTE BLAKI WOMANI,
hapa bado naendelea kumtafuta kupitia pm,
tatizo sujui kuanza kuPM mtu ila najua kureply tu,
nimemwomba ani PM ili tuongee zaidi lakin naona bado,
ningejua kuanza tu ningemMP ,
labda kama naweza kuelekezwa jinsi ya kuanza.
 
Mbona bado uko na nafasi tele? Kufeli masomo, sio kufeli maisha. Buguruni mwisho kuna Chuo pale karibu na kituo cha kwenda Muhimbili. Uliza hapo utapata maelezo mazuri.

ASANTE ila,
kinaitwaje?
 
Pole sana NNUU!
Huna ya kukata tamaa kiasi hicho, sidhani kama kufeli kwako masomo ndiko kufeli maisha, ninachoamini maisha yataendelea na madamu maisha yanaendelea u can try again and again ukiamini kuwa kwa juhudi ufanyazo mwisho wa siku utafikia lengo lako.

Kuhusu CBE jaribu kupata ushauri kutoka kwao nafikiri itakuwa ni njia nzuri ya kuwa sure na kuokoa muda pia!!

Pole sana huna haja ya kukata tamaa na kupoteza matumaini kiasi hicho!!!!
Mungu akutangulie usifikie maamuzi ya kuutesa Moyo wako!!!

mkuu we waza kuresiti mitihan usiogope na mungu akukunyima upande wa pili mashallah komaa na shule muulize shyrose banji akwambie umuhimu wa kurisiti mtihan..
 
Nakushauri jaribu kuöana nao moja kwa moja,alafu uone wanasemaje,na usiende chuo kimoja jaribu vngi,na ukienda urudi kutuletea riport.
 
Nakushauri jaribu kuöana nao moja kwa moja,alafu uone wanasemaje,na usiende chuo kimoja jaribu vngi,na ukienda urudi kutuletea riport.

MKUU UNATAKA KUMUUNDIA TUME NINI???
happy sat
 
Mimi nimesoma CBE, najua pale kuna full time na night college;
hiyo fomu uliyochukua ni full time au night college? kwa appy in both full time & night college ili ukikosa full time uwezi kukosa night college
 
Pole sana mpz hata mimi nimefanya mtihan nikapata four kama ya kwako nilikuwa nimeishakata tamaa ila kwa kupitia ushauri wa waungwana nimeona bado mda ninao wakutosha so usikate tamaa hi ndo elimu ya nchi yetu cha msingi jitahidi aply sehem nying na usibague kazi huwezi jua mungu kakupangia wapi pa kutokea mi nakuombea heli mpendwa uweze kufanikiwa
 
NAHISI DUNIA IMENIGEUKA,
muda wangu wote,juhudi zangu zote,ndoto zangu zote,
maisha yangu yote naona kama ndiyo yamefikia mwisho.

Nilifanya mtihani wa kidato cha sita kama private candidates,
lakin NIMEFELI nina Dvn four (4) ya 18,GS-s,hst f, kisw -D,na eng f.
ndoto za kwenda chuo kikuu zimeyeyuka ghafla,
naona giza totolo mbele yangu,ila naamini kupitia,
hapa JF naamini wadogo zangu,wanangu,wajukuu zangu,
pamoja na wakubwa wenzangu mtanisaidia kimawazo nini cha kufanya.
mimi napenda sana nikasomee CBE mambo procurement kwa kuanzia na
diploma je ntaweza kufanikiwa kupata nafasi.Form nimeshachukua ila
sijarudisha,wasiwasi wangu je nitaweza kupata nafasi??.
matokeo ya form four yana hst-c,kiswa-c,eng-b,geo-d,
civic-d,. Yataweza kunisaidia kuingia diploma??.

Sitaki mkopo najilipia mwenyewe kwa sababu mimi siyo mwajiriwa,
nimejiajili mwenyewe na vibiashara vyangu vyenye uwezo wa kuniwezesha,
kumudu gharama zote kipindi chote cha masomo.
Sijapeleka jukwaa la elimu kwa sababu kule kuna wachangiaji wachache,
tofauti na huku ambako naamini nitapata mawazo mengi sana na yenye kunifaa.
Nawaomba muwe wa wazi tu,kama inawezekana sawa na kama haiwezekani niambieni pia. Ukweli wako ndiyo mafanikio yangu.

Samahani kwa maelezo marefu.



Nnunu am so impressed; unajitegemea, ni mtegemewa, ni mama, alafu bado ni mwanamke mwenye nia na focus iliyolenga katika elimu - kweli si kazi ndogo .... HONGERA SANA. Wana Jf wametoa mawazo na ushauri mwingi ambao naamini ukiufanyia kazi (na naamini utaufanyia) utafanikiwa tu! Goodluck katika mipango yako yote...
 
Pole mpendwa!!!
Usikate tamaa bwana....muombe Mungu then tafuta njia nyingine ya kutokea!
 
[/B]

Kaka jambazi ASANTE sana kwa mawazo yako,
hapo kwenye kukolezwa rangi napo pana maana sana tena sana,
ndiyo Tanzania yetu hii kila kitu watu wanageuza dili.

Lakin ningekuwa najua jinsi ya kuanza PM ningempm ili nimsikilize ushauri wake,
labda unaweza kunisaidia japo angeweka hapa labda ungeweza kuwasaidia wengi,
labda kuna wengine wenye tatizo kama langu japo hawajaweka wazi.

Nnunu
Wewe ni katika watu amabao nimekuwa nikikubaliana na michango na mawazo yako hapa jamvini. Nimeshtuka kidogo kwa wewe kufeli lakini nimeelewa pale uliposema kuwa ulikuwa private candidate, kwani majukumu husumbua sana kwa PC wengi na kusababisha wasifanye vizuri sana.

Kwa kuwa una taka kusoma, mimi nakuomba usikate tamaa kabisa, hata kama utakosa chuo kwa ajili ya competition kama wanavyosema wengine, naamini unaweza re sit tena kwa kuongezea credit.

Mi naomba nikutakie kila lakheri katika hayo utakayo.
 
pole sana ndugu, fanya kama huyo jamaa alivyokwambia apply cbe night na day time all together to increase your chances of being admitted
 
unaweza still kwenda chuo kikuu...kwa matokeo hayo hayo

hebu nenda ofisi za admissions za vyuo watakueleza how..

kama una uwezo wa kujilipia,basi nenda chuo kikuu moja kwa moja...

vyuo vipo vingi vyenye sifa

anza na udsm,nenda tumaini
halafu nenda IIT......
KUMBUKA CHUO KIKUU SIO LAZIMA KUANZA NA DEGREE...
UNAWEZA ANZIA NA KOZI NYINGINE HALAFU NDIO UKASOMA DEGREE UNAYOTAKA
 
Mimi nimesoma CBE, najua pale kuna full time na night college;
hiyo fomu uliyochukua ni full time au night college? kwa appy in both full time & night college ili ukikosa full time uwezi kukosa night college

SAMAHANI KWA LATE REPLY,
jana ilinigomea ku log in sijui kwa nn.
Asante kwa swali lako,
FORM haijaandikwa kama ni full time au night time.
jumatatu itabidi niende nikawaulize watu administration zaid,ili nijue kama hii ,
niliyopewa ni ya muda gani.
 
Back
Top Bottom