BPM
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 2,760
- 573
kwani kuna ubaya akiingia kwenye uhusiano mwingine kama akiamua?
si vyema kwani tayari ana kidonda na maumivu makali kutokana na mahusiano yaliyopita hivyo anaweza kujikuta hadumu na akashindwa kuweka mihimili iliyo sahihi .. anahitaji mapumziko ya kuwa pekee yake lakin kuna mambo mengi anatakiwa kuyafanya kabla hajaamua kuachana rasmi na pia kuanzisha mahusiano mengine.. kuna mawali watu wameuliza lakini nasikitika hajajitokeza kuelezea walau wazini kuchanganua