Nimechanganyikiwa! Nimemsaliti GF wangu, kwa kumpa mimba mwingine..

strit boy

Member
Aug 24, 2011
87
4
Jamani wana jf naombeni msaada wenu nipo njia panda nasijui cha kufanya.Full stor ni kwamba kama mnavyo elewa wanaume wengi kuwa na mpenzi mmoja (girl friend) wengi tumeshindwa kilicho nikuta nimempa mimba dem ambaye sina mpango wa kumuowa kutokana na tabia zake na uwezo wake kufikiria bado ni mdogo na sijui dem wangu wa kweli akijua itakuje na kiukweli nampenda sana mpenda sana dem wangu wa ukweli kuanzia sura hadi tabia jamani nifanye nini ?
 
ukipanda bangi.....unavuna mchicha.........
 
Baada ya kumpa mimba ndio umegundua kuwa uwezo wake wa kufikiria bado ni mdogo????
 
Pole sana. Tamaa mbele mauti nyuma.
Tukiongea ule ukweli kabisa, hakika hujampenda hata mmoja wa mabinti hawa zaidi uliwatamani sana. Kama unampenda mtu kweli, utamfanyia ujinga kama huu??? Tusichanganye tamaa na Upendo hata siku moja. Hayo ndo matunda ya tamaa.
Suluhisho si kujinyonga. Ukijinyonga sanasana utakuwa umeongeza tatizo badala ya kupunguza.

Ninachoweza kukushauri ni kwamba jaribu kutumia utu wako wa kibinadamu kuyashinda matatizo kwani matatizo ni ya binadamu kuyashinda na kuyatafutia suluhisho. Wajibika kijna mwenzangu na usikimbie majikumu. Ongea ukweli ili uwe huru. Mweke wazi unayedhani kuwa wampenda. Ajue kila kinachoendele ili naye atoe maamuzi yake. Huenda hata akakusaidia kwa ushauri.

Nasema Acha kuyakimbia matatizo kama vile wewe si binadamu.
 
hahahahaaa!
Arusha kuna masoko mjingaa!
Muulize preta anayajua!

mwambie ......soko mjinga ni yale masoko yanayofumuka from nowhere....na sio ya kudumu....unaweza kulikuta leo...kesho ukiamka halipo......
 
Jamani ishu ya kweli acheni utani
Sasa si usubiri mtoto azaliwe halafu mengineyo yatafuata kwani tatizo ni nini wakati unachovya what did you expect, wakati unapata raha uliona raha duniani sasa mimba hiyo hapo unataka kuanza kuruka kimanga kijana just face the responsibilities usianze kuleta visingizo sijui ohoo ana uwezo mdogo wa kufikiri mbona wakati unafanya nae mapenzi haukugundua hilo mkiona umembebesha mtu mimba ndio unaanza kuja na visingizio lukuki ili mradi tu uingie mitini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom