Hi JF members, naomba ushauri kwa wale waliopo kwenye ndoa.
Ni hivi nimeolewa na nina mtoto mmoja, lakini nina miezi tisa sijashiriki kimapenzi na mme wangu, sio kwamba sitaki la, ni vile naona mwenzangu hajishughuli nami, ishu ni hivi nimekaa na mme wangu miaka miwili ya uchumba nina uhakika na kazi yake kunako sita kwa sita,tumeoana mwaka jana,wakati huo nikiwa mjamzito wa miezi mitano, kiukweli kutokana na hali ujauzito sikuwa najisikia sana kushiriki na mme wangu nafikiri pia naye alielewa hali ile hivo hakuwa msumbufu.
Mimi nafanya kazi mkoa tofauti, hivo nilirudi kazini kwangu, mwezi wa tatu nilirudi kwaajili ya kujifungua, nilijifungua salama baada ya mwezi niliondoka kwenda kwa mama mkwe wangu.
Kama mnavojua vichanga vinasumbua kiasi kwamba mwenzangu alikosa ufanisi kazini kwasababu ya kukesha mtoto akilia, kwasasa mwanetu anamiezi minne na nusu.
Nipo kwa mme wangu nilipata uhamisho kazini, lakini mme ndo hivo hana habari namimi inamaana hajanigusa tangu mimba inamiezi mitano, mme wangu anaupendo sana na hakuna kilichobadilika kwake ananijali sana, lakini naona hii hali inaniogopesha au kapata mchepuko, je au anaona atanisumbua manaake mtoto nae husumbua usiku?
Jamani hivi hii ni sawa kweli kwa mwanaume rijali?
Mliopo kwenye ndoa msaada tafadhari.