Nimechanganyikiwa Mwenzenu "MKE WANGU ANA JINSIA MBILI"

Binafsi nimewahi kuwa na mpenzi mwenye hali kama unayoizungumzia
lakini kwangu halikuwa tatizo maana tuliachana nilipohamia huku DAR na
hatukuwa na makubaliano ya kuoana, kwangu hakuna tatizo ningekaa naye
tu.

hapo penye kiredi, je kama sehem yenye nguvu zaidi ni ndizi mzuzu?...nanukuuu "kwangu hakuna tatizo ningekaa naye
tu"..
 
Jiandae siku moja kutoa ushirikiano.....pole sana na kama zote zinafanya kazi basi hapo lazima mpeane zamu.
 
Binafsi nimewahi kuwa na mpenzi mwenye hali kama unayoizungumzia
lakini kwangu halikuwa tatizo maana tuliachana nilipohamia huku DAR na
hatukuwa na makubaliano ya kuoana, kwangu hakuna tatizo ningekaa naye
tu.

Kwa wewe mwenye uzoefu, zinakaaje pale mahala?naona sehemu ni ndogo sana kwa nyeti mbili kuwa pamoja. Hebu nijuze mzoefu
 
Kama ya kiume inafanya kazi cha kufanya unasubiri mpaka isimame halafu unawahi kuivunja huyo sahau kamwe hata simamisha milele utaendelea kupiga kitumbua

Hapa sina mbavu!

Hahahahahahahahahahahaha!!

Taratibu na misemo jamani!
 
Let me read between the lines...."TUSIKIMBILIE KUOANA KABALA HATUJA#$T*I*A*N*A" hii inatuepushia majaribu mengi hukooo tuendako "ndoa ndoani"
 
Acha kutupotezea mda, kama umekosa mada ya kuweka tafuta ustaarabu mwingine!!!!!!, .................ww!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Kijvfg bgyt7 iuy78 buiy...........ttf
 
Dah kama anampenda avumilie huku akitafuta njia ya kidaktari kumsaidia
 
Dear JF, sina haja ya kukupa pole kwa tukio lililokupata. ni matumaini yangu kuwa huyo mke wako ana akili timamu kabisa kukubali kuolewa na ww hali akijua kuwa ana junsia mbili. nasema hivyo kwa sababu hilo si tatizo ni hali ya kawaida sana.ki kawaida hakuna mtu mwenye jinsia mbili na zote zikawa zinzfanya kazi kama kawaida huwa moja ndo dorminant. so kama alichagua kuolewa ina maana yeye ni mwanamke na si vinginevyo. so jinsia ya kike ndo inayofanya kazi vizuri. SIJAJUA wewe ni dini gani ila kama ni mkristo kama mimi basi nakuomba usimwache huyo mwanamke ni mkeo na ulimwahidi kuishi naye katika shida na raha so vumilia hiyo ndo ndoa.
Pili psychologically, huyo mwanamke atakuwa mwaminifu sana katika ndoa yenu na ndo maana hata wewe hakukubalia kabisa umguse japo ulimwahidi kumwoa kwa kuogopa siri yake ingegundulika. so hawezi kamwe kukusaliti.
Pia atakuheshimu sana kitu ambacho kila mwanaume angekipenda kukiona kwa mke wake kwa sababu anajua umeshikilia siri nzito ya maisha yake,. so mshikilie sana huyo ndo mwanamke wa kuoa
 
Mh how come mtu unasema ingekuwa wewe ungemuacha hy mwanamke, huyo ni mkeo kama kweli unampenda mpeleke hospitali mpate ushauri wa dr, nilishawahi kusoma kwenye mtandao mtu wa aina hy akafanyiwa operation na kuwa normal kabisa, huyo tayari ni mkeo kumwacha sio solution, what if wewe upate ulemavu ungependa mkeo akuache!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
 
Back
Top Bottom