Kingthaiman
Member
- Dec 11, 2020
- 14
- 6
Nimepata kozi UDOM Bcom in information and system management. Mwenye kuifahamu naomba anielezee uzuri wake na uzito wake.
Chuo hakijafunguliwa? Masomo hayajaanza?Nimepata kozi UDOM Bcom in information and system management. Mwenye kuifahamu naomba anielezee uzuri wake na uzito wake.
Yameanza, dirisha la kubadilisha kozi lipo wazi nipo njia pandaChuo hakijafunguliwa? Masomo hayajaanza?
Umeisoma mkuu, nijuze kidogoHaina uzuri wala uzito wowote.
mwache usimdanganye mwenzako, kozi gani hizo za Fine Arts za Kaole huko Bagamoyo?Badilisha coz mapema kijana bora ukasome B.A Fine Arts and design.
College of business studies Udom kwanza ina walimu wa hovyo hovyo
Nijibu haya maswali na usiruke hata moja.Yameanza, dirisha la kubadilisha kozi lipo wazi nipo njia panda
Nimesoma EGMNijibu haya maswali na usiruke hata moja.
1. Alevo au diploma ulisoma kozi au kombi gani?
2. Unataka kubadili kwann?
3. Unataka kubadili uende kusoma nn?
Nijibu tuendelee.
Sawa boss ujumbe wako nimeupataBadilisha coz mapema kijana bora ukasome B.A Fine Arts and design.
College of business studies Udom kwanza ina walimu wa hovyo hovyo
Kasome tu hiyo angalau angalau make sure unafaulu sana ka GPA angalau 4.0Nimesoma EGM
Nataka nisome project planning
Aisee..!Kasome tu hiyo angalau angalau make sure unafaulu sana ka GPA angalau 4.0
Hiyo faculty inapatikana Institute of Development Studies Udom. Na walimu wake angalau angalau wana ubinadamu.
Huu ndio ushauri wangu!Nimesoma EGM
Nataka nisome project planning
hahahahahaaaaaa . . .. .yaani nimecheka mpaka baaasiHaina uzuri wala uzito wowote.
Nina mashaka na package ya hii course. Kuna uwezekano ikatengeneza half-baked products kwenye sekta husika unless inazidi miaka mitatu kwenye usomaji wakePili nimeangalia masomo ya ISM naona ni mchanganyiko wa IT/Computer Science na Accountancy!
Kwa sasa tunaishi kwenye ulimwengu wa teknolojia, kazi nyingi zinabebwa na teknolojia! kwa kifupi ISM inakuandaa sio tu uwe mhasibu/businessman ila uwe mhasibu mwenye strong command ya IT!
Dogo nakushauri ukasome economics kuliko project planning per se. Hivi umeshajiuliza baada yaNimesoma EGM
Nataka nisome project planning