Nimechaguliwa multiple selection Bachelor of Medical Laboratory na Pharmacy niende chuo kipi?

Habari zenu nimechaguliwa kusoma bachelor of medical lab general MUHAS pia nimechaguliwa bachelor of Pharmacy Bugando na Kampala University

Naombeni ushauri niende kusoma course gani?
NENDA KASOME PHARMACY (najua hujaelewa,rudia kusoma mpaka uelewe)..

Kasome pharmacy.
 
Nakushauri nenda Pharmacy Bugando...(Lakini zingatia Ada kama una uwezo wa kuongezea, maana Ada ni around M 4...na Bodi inatoa Mkopo na kuacha umalizie sehemu kama Milioni 2 hivi au 1+ ndo utatakiwa kuongezea)...so, jiangalie...shauriana na Wazazi walezi kuhusiana na hilo.

Ikiwa Changamoto ni Hela kutoka kwa walezi...Nenda Muhas Lab...ni kozi nzuri sana pia...na Ada Muhas ni ndogo around Milion 1.5 hivi...inalipwa na Bodi yote.

Popote kati ya hizo utakapoenda, upo kwenye "Right track"...

(ila my Priority ya kwanza nzuri ni Pharm, ya pili Lab)

Hongera kwa kuchaguliwa Kozi nzuri.
Pamoja na kuongea na wazazi pia kama akipata boom na akichanganya ela za wazazi hatakosa uwezo wa kuongezea hiyo ada! Akikimbilia huko kwenye maabara akimaliza ajiandae kusaza meno...
 
Habari,

Selection zimetoka ambapo nimechaguliwa kusomea Medical Laboratory General Muhas na Bachelor of Pharmacy Bugando na Kampala University je nikasome course ipi kati ya hizo?
Nenda bmls muhas... afu jaribu kufanya internal transfer uhamie pharmacy au nursing coz bmls ajira ni ngumu kidogo mdogo wangu!
 
Angalia uchumi wa kwemu..pia med lab iko poa kwa muhas..ila njoo tu usome hizo kozi zote ajira ni kutafutana mtaani.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mwanangu nimepeleka international school, akimaliza tu la saba, ni veta moja kwa moja. Hio miaka tisa ya ya olevel mpaka chuo ni kuchezea pesa zangu, afu unarudi nyumbani huna ajira wala ujuzi, nianze sumbuka kukupa na nauli za kwenye usaili. Ajira zenyewe ngumu sana.

Kwa miaka tisa hiyo "veta" atakua fundi mzuri sana. Akitaka kusoma zaidi atajiendeleza mwenyewe.
 
Yaani sijui nilikuwa wapi kumshauri huyu dogo.

Anyway......unaiachaje BMLS tena ya muhas kwa pharmacy tena ya BUGANDO.?

Pharmacy nowdays imekuwa ya kila mtu mtaani vijana wapo wengi mno wa hii kada mpka inafika hatua unakosa cha kuongea.....nilikuwa nacheki kwa wadogo wa level ya diploma hata mwenye F ya physics anasoma hii pharmacy.....ni hatari watoto wanajazana lecture(nilitembelea chuo kimoja cha private watoto wapo 700 darasa moja wanasona pharmacy) na wakati huo mtaani kuna hawa watu kama wote(hii kada ni kongwe compare to
BMLS).

Deal nyingi za hawa jamaa wanapewa ADO huku mtaani na biashara zinaenda.

BMLS ni bora kwa sasa ukilinganisha na pharmacy.

Asante.
 
Lakini kwa bachelor yake uwezi soma kama hauna physics mkuu naona wamachia kwa diploma tuu
 
Yaani sijui nilikuwa wapi kumshauri huyu dogo.

Anyway......unaiachaje BMLS tena ya muhas kwa pharmacy tena ya BUGANDO.?

Pharmacy nowdays imekuwa ya kila mtu mtaani vijana wapo wengi mno wa hii kada mpka inafika hatua unakosa cha kuongea.....nilikuwa nacheki kwa wadogo wa level ya diploma hata mwenye F ya physics anasoma hii pharmacy.....ni hatari watoto wanajazana lecture(nilitembelea chuo kimoja cha private watoto wapo 700 darasa moja wanasona pharmacy) na wakati huo mtaani kuna hawa watu kama wote(hii kada ni kongwe compare to
BMLS).

Deal nyingi za hawa jamaa wanapewa ADO huku mtaani na biashara zinaenda.

BMLS ni bora kwa sasa ukilinganisha na pharmacy.

Asante.
Uwongo huu ,unampoteza kijana
 
Uwongo huu ,unampoteza kijana
Weka hoja mkuu ndivyo tunaenda...........usiishi maisha ya 1930s na sisi tupo 2021😆😆😆

Aya karibu kwa hoja ili tujue nini unabisha hasa?

ASANTE........KARIBU.
 
Back
Top Bottom