Nimechaguliwa kusoma course inaitwa FOOD SCIENCE pale SUA

impongo

JF-Expert Member
Feb 18, 2015
8,168
2,000
Sikuichagua mi niliweka option nyingi ya kwanza ilikua animal science ya ya pili general agriculture iyo ilikua ya mwisho ya tano kuchagua nilitaka kubadili so kabla sijafanya inabd nijue ikoje kiutaalam zaidi
General agriculture au animal science hizi ndio za kupambania hiyo food science hapana aisee.
 

Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Sep 23, 2013
3,459
2,000
Habari za Leo wakuu,

Binafsi nimechaguliwa kusoma course inaitwa food science pale sua kwa mwaka wa kwanza wa masomo 2021/2022.

Ila nimetamani kupata kujuzwa mengi kuhusu hii course katika kila nyanja kama ifuatavyo:-,

#Ugumu wake?
#fursa zake kimasoko katika ajira?
#kujiajiri kwake?
#faida zake kiujumla ?

Na kama kuna ushauri mwingine hata wa kuhama kozi pia tushauriane tu .Karibuni wakuu naombeni msaada wa ushauri na mawazo juu ya hili
HUPATI MKOPO MWAKA HUU!!!
 

Man kante

Member
Apr 26, 2021
16
45
Kama wadau walivyochangia hapo juu, ajira zake Ni viwandani huko TBS, PEPSI NK .....ILA NINGEKUWA MIMI NINGESOMA GENERAL AGRICULTURE AU AGRONOMY KWANI NAONA KAMA ZINA UWANJA MPANA NA WA UHAKIKA SANA. Ila Mimi hapo nilisoma kakozi Fulani hivi kapo hapohapo Siri yangu. Ukienda wasalimie dark City, mauki na kaumba na samaki samaki.
Nielekeze fresh mkuu kwanini umuhimu na uwanja wake ukoje
 

jiwe angavu

JF-Expert Member
Aug 28, 2015
3,716
2,000
Dogo kasome..ila jua mtaani ukimaliza hizo tbs au viwanda utaviskia tu kwenye redio..kasome kupata skills za kuja kujipambania maisha.

#MaendeleoHayanaChama
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom