NIMECHAGULIWA IAE bachelor of education in adult education and community development nipeni abc za hi kozi

Ndugu zangu ninaomba abc toka kwenu juu ya hiyo kozi, nimechaguliwa IAE dsm
Nb mm ni mwl tayari,kwa yoyote mwenye kuifahamu hiyo kozi,pia fulsa ktk implementation kazini🤗
Hii kozi uliiomba?au uliombewa?
Kama uliomba mwenyewe,iweje hujui inahusu nini?
 
Hii kozi uliiomba?au uliombewa?
Kama uliomba mwenyewe,iweje hujui inahusu nini?
Mkuu tuliza kipele,kwenye huo uzi nimeomba abc hasa kwa wale walioisoma au ht km hawajaisoma wanauelewa juu ya hiyo kozi
Km abc ya hiyo kozi huna ni vema ukajichenga😋😋
Nb elimu haina mwisho
 
Ndugu zangu ninaomba abc toka kwenu juu ya hiyo kozi, nimechaguliwa IAE dsm
Nb mm ni mwl tayari,kwa yoyote mwenye kuifahamu hiyo kozi,pia fulsa ktk implementation kazini
Option 1. Kubadili muundo wa utumishi kutoka kuwa mwl uwe idara ya maendeleo au ustawi wa jamii
Option 2. Kaza sana upate GPA kubwa isishuke 3.8 (hapo iwe kosa kosa kabisa) ili utarget kuwa mkufunzi kwenye vyuo vikuu (hasa kile cha elimu ya watu wazima)

Option 1 ndio ipo highly likely to happen bila kujali GPA nzito sana
 
Mkuu mm nimeshaajiriwa tayari,au nimekuelewa tofauti
Yuko sahihi hajakosea, alimaanisha ungejiiba usomee kitu kingine tofauti kabisa na education ukimaliza ukirudi kazini unaandika barua ya kuomba kubadilishiwa muundo wa utumishi wa umma kufuata hiyo taaluma mpya (recategorization), ila ingekupasa kuwa mjanja kuchagua kozi ambayo itakuwa na fursa nyingi kuliko education..
 
Baada ya kukosoa,toa na ushauri,usiwe km mdada anayetaka kuposwa, yaani unaingia na kutoka
By the way hayo ni makosa ya kiuandishi hata wewe ambae umekosoa unaweza pia kukosea
Punguza maneno ya kejeli kwani hukuvua heshima na uungwana.. tena unakosea kuchukulia jinsia ke (dada) kuwa kama kipimo cha kudhalilisha.. UUNGWANA NI VITENDO
 
Sawa
Option 1. Kubadili muundo wa utumishi kutoka kuwa mwl uwe idara ya maendeleo au ustawi wa jamii
Option 2. Kaza sana upate GPA kubwa isishuke 3.8 (hapo iwe kosa kosa kabisa) ili utarget kuwa mkufunzi kwenye vyuo vikuu (hasa kile cha elimu ya watu wazima)

Option 1 ndio ipo highly likely to happen bila
 
Yuko sahihi hajakosea, alimaanisha ungejiiba usomee kitu kingine tofauti kabisa na education ukimaliza ukirudi kazini unaandika barua ya kuomba kubadilishiwa muundo wa utumishi wa umma kufuata hiyo taaluma mpya (recategorization), ila ingekupasa kuwa mjanja kuchagua kozi ambayo itakuwa na fursa nyingi kuliko education..

AHSANTE SANA MKUU KWA KUMFAFANULIA KWA KINA KILE NILICHOKIMAANISHA.

IKIWA HAJAKUELEWA HAPO,
BASI TUPIGE TU GOTI, TUSALI.
 
Mkuu kama Haipo Ndani Ya Moyo wako Acha Kupoteza Muda... Soma kitu kinachosisimua Moyo wako Hata kama utaanzia certificate Utashangaa Sana utafika Mbali mno na Itakuwa na Ufanisi Makubwa sana
Mimi mwenyewe nimechaguliwa hiyo adult education sema mimi ni adult education and distance learning
Ndugu zangu ninaomba abc toka kwenu juu ya hiyo kozi, nimechaguliwa IAE dsm
Nb mm ni mwl tayari,kwa yoyote mwenye kuifahamu hiyo kozi,pia fulsa ktk implementation kazini🤗
 
Back
Top Bottom