Nimechaguliwa BAED OUT, je naweza kuhamia chuo kingine

Mkwawa mnyalukoro

JF-Expert Member
Oct 11, 2017
232
136
Wadau binafs nmechaguliwa kusoma open mwaka huu ila sijapenda kusoma pale na sijui kwann TCU wamenipeleka pale wakati halikuwa chaguo langu LA kwanza JE je ninaweza kuhamia Chuo kingine na je utaratibu upoje?
 
Uko serious kweli au umekuja kujaza server za jf?,mwaka huu TCU imehusika wapi na selection ya vyuo?
 
Be mwagito pambana tuu
Tena Ni chuo pekee kinacho muwezesha mtu kusoma huku akipambana na maisha uraiani
 
Wadau binafs nmechaguliwa kusoma open mwaka huu ila sijapenda kusoma pale na sijui kwann TCU wamenipeleka pale wakati halikuwa chaguo langu LA kwanza JE je ninaweza kuhamia Chuo kingine na je utaratibu upoje?
uliombaje chuo TCU?

Mimi niliomba OUT tu na nimepata hapo hapo
 
Wadau binafs nmechaguliwa kusoma open mwaka huu ila sijapenda kusoma pale na sijui kwann TCU wamenipeleka pale wakati halikuwa chaguo langu LA kwanza JE je ninaweza kuhamia Chuo kingine na je utaratibu upoje?
Tcu wanausikaje hapo wakati wao awachangui wap wew uende zaidi ya chuo ndo wanakuchangua wao. Alafu kwann uweke hicho chuo wakati wew autaki kwenda huko Tanzania kuna vyuo zaidi ya 30 Kwann usiweke vingine. But kuna nafasi za transfer huwa zinatoka unaweza kuama chuo kwenda unachotaka
 
Back
Top Bottom