Nimebanwa sasahivi-Two girls in my Home

Status
Not open for further replies.
Naona umri unakuruhusu, km ni dini bora uwaoe la sivyo unakaribisha UKIMWI maana mpaka hapo hawajakusamehe wataenda zipigiza kwa hasira huko nje wakuletee tena
umewakuta wana meno yote 32 na hawana Bik......... sasa hujawakomoa labda wahadithiane huna kibamia ila Dushelele ndo watakung'angania
 
Wadau,Msaada wa maamuzi tafadhali.

Kwanza msianze kunialaumu ,shauri kwanza,lawama baadae.

Hapa nilipo i have two girls in my place.Both are my girls.Mmoja alikuja asubuhi kwa taarifa nikawa nimekaa nae hapa,Mwingine akawa amekuja kwa kustukiza.Sasa hapa wamenibana kweli.Nimecheza na saikolojia zao hawajagombana hata kidogo,Zaidi na zaidi wanapiga stori ingawa wamefumaniana.Ila nina ultmatum ya kuamua namtaka nani.La sivyo hawaondoki hapa hata siku ngapi zipite.Wameweka msimamo na hawanielewi kabisa.

Naogopa ku side na mmojawapo kwa sababu nafikiria athari kwa mwingine zitakuwa kubwa.Msaada tafadhali wa mawazo

hope umefanikiwa kuwatoa pasi vagi
 
leo si ni Jumatatu siku ya kazi, badala ya kwenda kazini uko na wanawake wawili kwako, hao wanawake hawana kazi? uzinzi mwingine jamani.
 
nadhani hao mademu akili zao hazina akili..ndo nasikia leo balaa kama hili unless huwaga unawatoa na pesa kila wanapokuja kwako ..maana kutoondoka hapo watakua wanasubiri pesa na si kingine..
 
Kweli hao ni Mademu.Siyo mabinti wa kuoa,na wife material kama unawapanga hivyo.umekwisha.
 
Sioni hata neno la kufanya uone sifa kuhadithia na magonjwa yoote bado una kifua cha kushangilia ujinga?wao wadada kama ni type ya mke hakuna atakayekubali kuendelea na wewe but kama ni milupo utaendelea kugonga wote na zaidi akili kumkichwa
 
Waondoke wakaanze tena wakati walikuwa washafika! hata mie kama nampenda ningependa kumsikia mdomoni mwake maamuzi yake ndipo niamini,sipendi kubaki na maswali kichwani wakati mjibuji yupo
 
hehehe nimependa ambavyo hawajagombana,sijui wakati wanapiga story walikua wanaongelea nini.
Mkuu nahisi wao ndo wamekupiga chini halafu wamekua mashoga.
Saa hizi wanaelezeana madhaifu yako halafu wanagongeana kwa kukucheka.
 
yaani hiyo tabia sio n zuri, wewe si mwaminifu kabisa, kama hao wasichana wana akili timamu hakuna hata mmoja atakae kubali kubaki, waache wote uanze upya.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom